NMB - Kasulu acheni ubabaishaji we

NMB - Kasulu acheni ubabaishaji we

Kv-london

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2014
Posts
2,892
Reaction score
5,084
Waaaaslaam hapa jamvini
Last week nlienda kufatilia mkopo (wa wafanyakazi)
Nmb tawi la kasulu kwa bahati mbaya nkamkuta afisa mikopo amesafiri nkapewa appointment ya kuonana nae next week.
Nkaenda akanimbia kuna shida ya mtandao so niache attouchment zangu mtandao ukiwa njema ataprint form then atanpigia ile niende nkazisainishe kwa muajiri after few days waniingizie mpunga wangu
Jana sasa majuzi nkampigia somu hapokei nkimtumia SMS hajibu nimejaribu kuganya hovyo zaidi ya Mara tano Ila no response.Nkamus nimfate mwenywe ofisin kwake nkamuuliza VP mbona unanizingua na haupokei calls zangu wala kureply SMS
Akanijibu npo busy nidubiri hspo nakuja nimekaa mpaka SAA 17😛m cjaona MTU nkajiondokea zangu tu kwa hasira

Cha ajabu zaidi nlikutana na Wateja wengine wao waliomba mkopo tangu mwezi was sits ila mpaka Leo bado hawajaingiziwa hyo pesa kweny account zao officer mikopo akiulizwa anaishia kuwaambia tu chukueni mamba yang mtnpigi
MAONi yangu: kama kama hamtoi tena mikopo Mtuambie ili tujue moja na sio maneno maneno tu na blaaa blaaa za kitoto bwana.

Mpe anae kupa
 
Wana uzi wao humu hebu cheki nao ila uzinguzi ukizidi benki zipo kibao zinakuhitaji mfanyakazi ukope kwao yaani nyingi piga chini
 
17 PM ndo saaa ngapi?


Hiyo namba ulopewa si ya SMS wala kupiga simu. We nenda takukuru wana hela wakupe umwekee MPESA kisha wamtumbue.
 
Back
Top Bottom