Utani niliyowahi kutaniwa ila Mimi nilichukia kweli.

Utani niliyowahi kutaniwa ila Mimi nilichukia kweli.

jbernad2

Senior Member
Joined
Feb 7, 2017
Posts
112
Reaction score
86
Nakumbuka wakati Niko chuo darasa letu lilikuwa na watu wenye umri had over 50. Kuna Mzee mmoja nilimheshimu sana nikawa namuita Baba kwa maana ya umri alio nao ni Sawa na baba yangu.

Siku moja wakati tunasubir lecture tukawa tunaaongea, Mimi nikamuita yule Mzee Baba, rafiki yangu akasema haifai kumuita ilo jina huyu Mzee kwani ukimuita huyu Baba yako maana yake amewahi kushiriki tendo la ndoa na Mama yako.
Akaulizwa yule kama nastahili kumuita Baba au la. Bila aibu yeye akajibu kweli kabisa huyu kijana anakosea kunita Mimi baba kwani sijawahi kulala na mamake. Hivyo na kunitaka niache kumuita Baba.

Binafsi nilichukizwa na maneno ya yule Mzee. Badae akasema ahaa huo ni utani.
Sijui wewe ni utani gani uliowahi kutaniwa na ukasirika kweli..?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sina utani na maccm aseeh...
Miaka zaidi ya 50 wanatutania tu...
 
Utani wa deo kisandu Fb

Deogratius Nalimi Kisandu
IKULU YA TANZANIA.
Kuna FEKI yupo IKULU anajiita Deogratius Kisandu, amepelekwa na Msambaa wa Ikulu na anajitambulisha kwa C. V zangu. ONYO: Ikulu inawajibika kumuweka kikaangoni, nikitoka chini siangalii suraa.....Heri dhambi ya muda kuliko kufanyiwa unyama.
 
Tuliahidiwa tutapewa Noah na zile milioni 500 kila kijiji, cha ajabu hadi sasa tumeambulia patupu na Bombardier yetu pendwa ipo kitanzini.
[emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27]
 
Utani wa deo kisandu Fb

Deogratius Nalimi Kisandu
IKULU YA TANZANIA.
Kuna FEKI yupo IKULU anajiita Deogratius Kisandu, amepelekwa na Msambaa wa Ikulu na anajitambulisha kwa C. V zangu. ONYO: Ikulu inawajibika kumuweka kikaangoni, nikitoka chini siangalii suraa.....Heri dhambi ya muda kuliko kufanyiwa unyama.

Kaka yangu Deogratius Kisandu wanamuandama sana, kila kitu kwanini wanamfanyia yeye? Tunakoelekea itabidi kama familia tukafungue jalada ICC.
 
Utani wa deo kisandu Fb

Deogratius Nalimi Kisandu
IKULU YA TANZANIA.
Kuna FEKI yupo IKULU anajiita Deogratius Kisandu, amepelekwa na Msambaa wa Ikulu na anajitambulisha kwa C. V zangu. ONYO: Ikulu inawajibika kumuweka kikaangoni, nikitoka chini siangalii suraa.....Heri dhambi ya muda kuliko kufanyiwa unyama.
Huyu deo ana matatizo au maana sijawah msikia hata redion au tv,,hua anasumbuliwa na kina nani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom