Pata picha lowassa ndio angekuwa ameenda kupanda kivuko

Pata picha lowassa ndio angekuwa ameenda kupanda kivuko

lendila

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2012
Posts
5,805
Reaction score
4,374
We!! mtanzania pata picha lowassa ndio angekuwa ameenda kupanda kivuko cha magogoni,lowasa kwa sasa eiza angekuwa anahojiwa kwa kosa la kupanda kivuko,ama yuko ndani kwa kosa la kupanda kivuko, ama angekuwa amwekwa ndani masaa 48 kwa amri kutoka juu,cha kushangaza kwa mujibu wa katiba ya jamhuri ya muungano wa tanzania hakuna mtu yeyote nchi hii aliye juu ya katiba, sheria na kanuni tulizojiwekea ,lkn rais magufuli akipanda kivuko anasifiwa na kupongezwa ni rais yuko karibu na masikini,lkn wakati huo huo lowassa akipanda kivuko anawekwa ndani masaa 48,rudia kumbukumbu ya matukio mengi ya lowassa kukamatwa huko geita na maeneo mengine ambayo lowasa alizuiliwa asikutane na watanzania wenzake,utafikiri lowasa amevunja katiba,sheria,na kanuni za nchi,kumbe ni mtu mmoja alikaa na mke wake akaja na amri zinazokiuka katiba ya jamhuri ya muungano
Ushauri kwa serekali katiba inamruhusu mtanzania yeyote kutembe,na kuzunguka nchi tanzania ilimradi avunji sheria za nchi,swali ni je ,kwa nini baadhi ya watanzania wanawekwa ndani kwa kutekeleza na kutii katiba ya nchi yao?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
8e3e5c9b152a5e0f7ab5267523ba1452.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Copy n Paste huonesha uvivu wa kufikiri katika majadiliano.
Na hapa ndipo watumwa wa fikra wanapotambulika.
Kwa kutumia lughapicha za matusi, kuropokwa, kushindwa kujibu hoja ya msingi, kukosa hoja nk.

Na ndio maana tumefikishwa hapa tulipo kwani siku zote wanaohoji huitwa "si wenzetu" hayakuanza leo. Ndiyooo.... zidumuuu.....
 
Back
Top Bottom