Hivi TBC, huu si uzushi kweli?

Hivi TBC, huu si uzushi kweli?

getrusa

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
2,150
Reaction score
1,824
Nasikiliza TBC kwenye kipindi hiki cha saa tano na nusu (mirindimo) mtangazaji anazungumzia kuundwa kwa jina la TANZANIA ! akisema imetokana na Tanganyika na zanzibar lakini kilichonichefua.. ni pale anaposema herufi mbili za mwisho IA. zinawakilisha jina la mtu aliyebuni jina hilo na Dini yake yaani (Iqbar) (Ahmadiya..) hiyo moja ni Taasisi ya Dini na hilo jina lake..

Kinacholeta ukakasi ni hivi kwenye redio ya Taifa unapotaja taasisi ya dini kuunda jina la Taifa unakuwa umekusudia nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo IA ni kimalizio tu cha neno TANZAN, mwingine atasema IA ni 'In Arusha', sehemu jina lilipotungwa
 
Umekerwa na kwamba wewe si mfuasi wa dini hiyo?mbona kuna vitu vingi vya kinaswara sisi hatusemi?pambana na hali yako,Acha ubaguzi wa kidini,kama ukweli ndio huo asiseme?
 
TBC ndio maana redio yao ina koromakoroma japo ni FM
 
Nijuavyo uenda ikawa hivyo....kwani niliwahi kumsikia sehem akisema kuwa I A lipo ktk nchi nyingi za Africa....kama NigerIA...SomalIA...EthiopIA...LiberIA....hivyo na kwetu baada ya kuungana ndiyo akaongeza hizo.....japo sijajua nn maana ila nchi nyingi afrika zina hayo maneno..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh mgalatia unachuki wewe sijapata kuona, sasa kisa umeona jina la kiislam ndio unatoa mipovu hiyo kweli?
 
Nasikiliza TBC kwenye kipindi hiki cha saa tano na nusu (mirindimo) mtangazaji anazungumzia kuundwa kwa jina la TANZANIA ! akisema imetokana na Tanganyika na zanzibar lakini kilichonichefua.. ni pale anaposema herufi mbili za mwisho IA. zinawakilisha jina la mtu aliyebuni jina hilo na Dini yake yaani (Iqbar) (Ahmadiya..) hiyo moja ni Taasisi ya Dini na hilo jina lake..

Kinacholeta ukakasi ni hivi kwenye redio ya Taifa unapotaja taasisi ya dini kuunda jina la Taifa unakuwa umekusudia nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana anadanganya maana taarifa nilizo nazo kutoka wahenga ni kwamba baada ya kuchukua TAN kutoka Tanganyika na kuongezapo ZAN kutoka Zanzibar na tayari wakawa wamepata TANZAN walikaa wakatulia wakaona lengo ni kupata TANZAN yenye NIA moja, sasa wakataka kuwekapo ile NIA na kwa bahati mbaya ama nzuri kukawepo na N tayari iliyo chotwa Zanzibari ikabidi N waitupilie mbali wawekepo IA pekee ili kukamilisha TAN na ZAN zenye (N)IA moja ndo ikawa imezaliwa TANZANIA yaani Tanganyika na zanzibari zenye nia moja.

Huyo mtangazaji ni mchochezi akapimwe mkojo na kukaguliwa ndani mwake maana jina la taifa haliundwi na mtu mmoja au wawili bali ni kamati za uongozi wa pande zote mbili kupitia mjadala na baada ya maazimio ndo umma unapewa taarifa za mabadiliko ya nchi zao kupitia kitengo husika kiutawala.

Hyo ya mtangazaji [emoji125] nmeiruka .
 
Umekerwa na kwamba wewe si mfuasi wa dini hiyo?mbona kuna vitu vingi vya kinaswara sisi hatusemi?pambana na hali yako,Acha ubaguzi wa kidini,kama ukweli ndio huo asiseme?
Mkuu kedekede kilichonikera ni kutamka taasisi ya Dini kwenye historia ya Nchi.. hata kama mtunzi alikuwa mwanachama wa hiyo jumuiya sidhani kama angetoa hiyo hoja kuwa I A inawakilisha jina lake na taasisi yake ya dini angekubaliwa..
Nchi hii ina madhehebu na Dini nyingi hivi unaona ni sahihi Redio ya Taifa kutangaza hilo?
mwisho nasikia huyo mtunzi wa jina bado yupo kwanini asiulizwe yeye?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa sababu ni radio ya taifa basi ni historia ya kweli wale lisikukere
Ukiona vipi chimba vitabu vya historia ndipo utajua.
Labda hicho kikao cha kujadili jina walifahamu mchango mkubwa waliotoa waislamu na taasisi zao kupigania uhuru ndipo wakatoa hiyo kama heshima kwao
Hii yote ni kwa sababu wakristo walikuwa nyuma kwenye kupigania uhuru.
Wao na gvt ya kikoloni walikuwa damdam.
HONGERA TBC KWA KULITAMBUA HILO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom