ZBC kuzima mitambo ya analogi kuanzia tarehe 31/8/2017 na kuhamia digitali

Awadh Mbwana

Member
Oct 24, 2014
52
40
5d6ffa1630e345d136d35d9856a5211f.jpg

Chaneli yako pendwa ya ZBC inapenda kuwatangazia kuanzia tarehe 31/8/2017 watazima rasmi mitambo yao ya analogy na kuingia kwnye mfuno digital hvyo wananchi wote Wanatakiwa kununua ving'amuz ili kuendelea kupata matangazo ya ZBC....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom