Jinsi ya ku-search channel kwenye king'amuzi cha continental

nusuhela

JF-Expert Member
Jan 26, 2014
5,818
7,106
Samahani wana jamvi. Naomba kuelekezwa jinsi ya ku search chanel kwenye king'amuzi cha continental. Maana Kila Niki search naambiwa database empty. Kama kuna njia nyingine naomba mnisaidie
 
Back
Top Bottom