Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

habari wadau... kuna kinanishangaza... kwenye maofisi na makampuni ya wageni watanzania wenzetu wako mstari wa mbele kusaidia wazungu kunyanyasa wazawa wenzao kisa wao wamepewa ka cheo kadogo...
1 Reactions
5 Replies
679 Views
VIJANA wengi mnaopata kazi baada ya kutafuta kazi kwa muda mrefu mkiwa ofisini FANYENI kazi hii imekuwa Kero sana Kwani Kijana atapata kazi ukiingia ofisini hufanyi kazi Mpaka inafika wakati...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
hello wanajamvi, hii thread ina lengo la kumuhimiza mkuu, kutaifisha mali zote walizochukua mafisadi, asiwapeleke mahakamani, ni wastage of time and resources, since,wata hire expensive...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Eti waheshimiwa kuna izi id zinaishia na tz mfano Michaeltz,Tundulissutz, Harmonizetz Je Hizi id kwa lugha na mtizamo rahisi hazina chembe za uhuni ndani yake? nikiwa na maana kwamba unaeza...
0 Reactions
35 Replies
2K Views
Habarini wana jamvi Juu ya mada tajwa je hii kitu inawezekana?km ni kweli sheria iliyoidhiniisha umriwa kustaafu ni ipi na imeshafanyiwa marekebisho?
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Najaribu kuwaza hivi from a scientific point of view: Waafrika tumekaa na Matende na mabusha kwa kanda ya pwani; waafrika tukemaa na thyroid Goiter kwa kanda ya ziwa kwa miaka karne na karne...
1 Reactions
4 Replies
976 Views
Leo nimekutana na msahiliwa mmoja aliyechoma nauli kutoka Mwanza hadi Kituo cha Usahili jijini dar es salaam akiwa amejiandaa na mambo ya kodi, na masuala lukuki ya uchumi akaishia kukutana na...
11 Reactions
28 Replies
4K Views
A tyrant (Greek τύραννος, tyrannos), in the modern English usage of the word, is an absolute ruler unrestrained by law or person, or one who has usurped legitimate sovereignty. Often described as...
0 Reactions
4 Replies
858 Views
Nalihitaji mapema Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hivi hizi hasara ambazo taifa linabeba kutokana na ukurupukaji wa ccm na kuingia mikataba ya kinyonyaji kwa makusudi na kwa maslahi yao binafsi mfano ukurupukaji kwenye samaki wa magufuli...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hello JF, Sijui kama na nyie mlifikiria hli, kuwaita watu maelfu kwenye usahili ambao watu 400 only ndio wanahitajika,ni uonevu, tena wawalipe for travel and other expenses, sijui ni mimi ndio...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Wadau Salaam, Naomba msaada wa kujuzwa mgahawa unaopika mapishi mbalimbali ya kitanzania Kama Zanzibar mix, kisamvu , biriani , pilau , mlenda , njegere za Nazi n.k . Kama mgahawa ukiwa ni wa...
2 Reactions
18 Replies
5K Views
Habari wadau, Huu uzi nauandika huku bado nikiwa na maswali kibao kichwani, Leo asubuhi nilikuwa na mishe za town mapema sana hata ofisini sijaingia, kuona hivyo nikaona bora nimchukue mke...
28 Reactions
233 Replies
19K Views
  • Closed
Mh. Rais Magufuli namuomba atembelee Mamlaka ya Usimamizi wa shughuli za Bima kwa kiingereza Tanzania Insurance Regulatory Authority aone mkurugenzi mkuu aliyemteua anavyofanza teuzi ndani ya...
3 Reactions
200 Replies
20K Views
Hakuna ambaye amenusu kama zile billions zinatalipwa na wanaume au la! Mwenye update atuambe! ================= Sina chanzo chochote cha taarifa za ndani kati ya serikali na acacia . Ila nadiriki...
2 Reactions
230 Replies
19K Views
Mbunge mteuliwa wa CUF, Bi Hindu Mwenda amefariki dunia katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alipokuwa amelazwa kwa matibabu. Mungu aweke roho ya marehemu mahali pema peponi! Sent using...
0 Reactions
108 Replies
22K Views
Ajali mbaya imetokea bus aina ya SADJA likitokea Mbeya kwenda Songea. Watu kadhaa wamejeruhiwa hakuna aliye fariki. Poleni ndugu zangu mliopatwa na ajali ya basi maeneo ya Kifanya, M/Mungu muweza...
0 Reactions
21 Replies
11K Views
Nina ka gelo friend kangu karembo lakini kamdomo kake kananuka kama mamba.hali hii inaninyima raha sana ingawa nakapenda.mara kibao kananisemea mdomoni oooooh dear hapo ndiyo huwa nazimia...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari za muda huu wana jamvini,naomba kuchukua nafasi hii kuomba kwenu msaada kwa ambaye anafahamu zilipo ofisi za umoja wa ma- blogger naomba msaada wa kunielekeza kwa kunipm. Sent using Jamii...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…