Pablo Blanco JF-Expert Member Joined Dec 20, 2016 Posts 7,324 Reaction score 6,657 Sep 3, 2017 #1 Hivi vidoti vyeusi kwenye ngozi vinaashiria nini,nadhani kila mtu kazaliwa navyo,kuna watu huwa wanavihusisha na imani za kichawi wajuziii mtuelezeee
Hivi vidoti vyeusi kwenye ngozi vinaashiria nini,nadhani kila mtu kazaliwa navyo,kuna watu huwa wanavihusisha na imani za kichawi wajuziii mtuelezeee
LUBEDE JF-Expert Member Joined May 7, 2013 Posts 4,322 Reaction score 6,700 Sep 4, 2017 #2 Joseverest samahani kwa nafasi yako kuiwahi,but mie pia ninacho kidoleni hicho kidoti...
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,332 Reaction score 72,655 Sep 4, 2017 #3 Sidhani kama hivyo vidoti vina uhusiano na uchawi ni uzushi tu
Ghazwat JF-Expert Member Joined Oct 4, 2015 Posts 23,718 Reaction score 66,277 Sep 4, 2017 #4 Unadhani vipi kila mtu kuwa navyo ilhali binafsi sina?
Galapagosi JF-Expert Member Joined Apr 21, 2017 Posts 2,848 Reaction score 2,640 Sep 4, 2017 #5 Imani potofu
DiasporaUSA JF-Expert Member Joined Aug 27, 2016 Posts 24,049 Reaction score 30,955 Sep 4, 2017 #6 Ninacho mkono wa kulia. Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
Papaa Gx JF-Expert Member Joined Oct 10, 2016 Posts 11,538 Reaction score 18,754 Sep 4, 2017 #7 Kubareghe
simba wa dodoma JF-Expert Member Joined Aug 23, 2017 Posts 930 Reaction score 1,024 Sep 4, 2017 #8 kama iman gan waanausisha Sent using Jamii Forums mobile app
Azarel JF-Expert Member Joined Aug 25, 2016 Posts 29,020 Reaction score 40,848 Sep 4, 2017 #9 Wengine wanasema eti ni alama ya kuzaliwa.