BRO SANTANA
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 1,845
- 2,249
Habari za humu ndani wakuu.
Kwanza kabisa tumekuwa tukisikia kwamba nchi fulani imewekewa vikwazo na Marekani.
Na baada ya muda unasikia nchi hiyo imeanza kuyumba kiuchumi na mambo mengine mengi wakati nchi hiyo inajitegemea kwa kila kitu na sio kwamba inaitegemea hiyo Marekani.
Sasa kama ijulikanavyo humu ni kitovu cha great thinkers,naomba kujua hatua kwa hatua maana sielewi inawezekana vipi.