Wanawake wenye midomo

Wanawake wenye midomo

Petabyte186

Member
Joined
Jul 10, 2017
Posts
91
Reaction score
36
Habar wana JF
kama mada juu ilivyo hapo.
Hawa wanawak wene midomo kwa nn wanakuwa wagumu kuelewa . hata umfahamishe vipi hasikii. Au wanaona sifa
Naomba kujuwa kwa nn wanakuwa hivi.?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo nini , mbona dada zetu wanasemwa sana ?

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
 
we hujajua tu !siri ya mtu yyt mwenye mdomo wewe jitahd usiwe na mdomo !unamvunja nguvu za kubwata bwata kila mara !akianza kubwata we kalalle !lazima akae kimya!
 
Wana mapepo ya umbeya na ufitini!
Dawa yao ni kuwakemea katika jina la Yesu!
 
Tafuta sababu ya huo mdomo hata mbwa habweki mpaka kitu kipite mbele yake hata inzi hivyo yawezekana hautimizi majukumu yako pia wanawake wasio lizishwa kunako huwa na hasira sana kama wako yupo hivyo wajibika uone kama atabwatuka tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafuta sababu ya huo mdomo hata mbwa habweki mpaka kitu kipite mbele yake hata inzi hivyo yawezekana hautimizi majukumu yako pia wanawake wasio lizishwa kunako huwa na hasira sana kama wako yupo hivyo wajibika uone kama atabwatuka tena

Sent using Jamii Forums mobile app



hahahaha yaan nikikuonaga huwa najua nitacheka !yaan we mdada una manenooo hhehee !ni kweli usemayo kila mtu anajua jinsi ya kuzuia hisia zake na mihemko
 
hahahaha yaan nikikuonaga huwa najua nitacheka !yaan we mdada una manenooo hhehee !ni kweli usemayo kila mtu anajua jinsi ya kuzuia hisia zake na mihemko
Haaa mambo best, unajua wanatusema sana wakati wenyewe hawajui wajibu wao kazi kutukana wanawake wapambane na hali zao kama ziro to be wavumilie tu midomo yetu hakuna namna

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kuna wanawake hawana midomo!! Wanapatikana sayari gani mkuu?
 
Mungu kasha sema tuishi nao kwa akili,wewe wachukulie tu kama walivyo.
 
we hujajua tu !siri ya mtu yyt mwenye mdomo wewe jitahd usiwe na mdomo !unamvunja nguvu za kubwata bwata kila mara !akianza kubwata we kalalle !lazima akae kimya!
Hiyo sio njia ya uhakika wewe ni kuhakikisha kila mwaka mimba atafunga mdomo hutaamini
 
Back
Top Bottom