Hawa Tigo Sasa hapana

Hawa Tigo Sasa hapana

Atclkwanza

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2015
Posts
823
Reaction score
1,002
Ndugu zangu tokea jana Dogo anaumwa,hela ipo kwenye simu nimeenda hospitali nikijua nitatoa hela mpaka sasa hivi nimekwama nikiwapigia wananizingua ,nimeonekana kama tapeli hapa hospitalini naombeni ushauri wa kisheria naweza kuwafanya nini hawa wa ndugu.
 
Hukupata sms ya taarifa kwamba watakuwa na tatizo au ni ulipuuzia taarifa!!
 
Ndugu zangu tokea jana Dogo anaumwa,hela ipo kwenye simu nimeenda hospitali nikijua nitatoa hela mpaka sasa hivi nimekwama nikiwapigia wananizingua ,nimeonekana kama tapeli hapa hospitalini naombeni ushauri wa kisheria naweza kuwafanya nini hawa wa ndugu.
vumilia tu labda wanaendeleea kukujaza taratibu
 
Pole sana. Jifunze kuwa na cash ndani kwa kusaidia ktk dharura. System siyo ya kuitegemea kwa asilimia 100%.
 
Back
Top Bottom