Tofauti na mahakamani ambapo ukikiri Kosa utahukumiwa na kutumikia adhabu, Kwa Mungu tunasamehewa. Kwa wakristo wengi maana nyingine badala ya kupata ile adhabu, adhabu ameshaichukua yesu kwa...
Nampongeza kwa ununuzi wa ndege mpya nzuri ambayo kwa mujibu wake anasema itamsaidia kwenye kueneza Injili...
Je atakuwa tayari kuruhusu wakaguzi wa hesabu na SFO wahakiki kuwa hakuna...
Moto umezuka katika duka la vifaa vya ujenzi la Chavda lililopo Double road katika manispaa ya Moshi na kutekeketeza bidhaa mbalimbali.
Taarifa kutoka eneo la tukio zinadai moto huo ulianza...
Aliyetoa taarifa ya kutoroshwa kwa madini ya almasi.Serikali yetu impongeze Hata kumjengea nyumba ya 300m kwa kuwa mzalendo.MIE ni mawazo yangu na sijasukumwa na mtu
Unakaa bar anapita dem mkali sasa subiri akusogelee..utafikiri katoto na paka kamefia kichwani mwake na kamechina kana nukaa.
Weaving linanuka ka dampo??hivi hata ile spray..movic ya buku 7...
Wanajukwaa wenzangu ningewaomba tujumuike kulikadili hili swala ambalo linaumiza kichwa watu wengi saana,hususan mimi hapa binafsi.
Kila leo hua najiuliza HIVI NA MUONGO KATI YA MWANAUME au...
Wakuu kwa wachaga kuna huu utamaduni wa kuweka jiwe nyumbani
Huu utamaduni upo meru, siha,machame, kibosho,old moshi, uru, marangu, kilema,kirua vunjo,kilema, mpaka rombo
Unakuta nyumba ina jiwe...
Habari za majukumu?
Ingependeza kama kili mtu akafungua moyo wake na kusema kinachomkera ambacho serikali ya awamu iliyopo madarani imefanya au inaendelea kufanya.
Binafsi mimi nachukia sana...
#1
Ukiwa nyumbani kwako, usiku fungulia maji bomba la nje kwa kiasi hadi asubuhi kwaajili ya kupata sauti ya maji kumwagika. Watu wasiojulikana watajua unakinga maji.
#2
Ofisini, hakikisha...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26, nina malizia MSC IN MATHEMATICAL MODELLING - UDSM bachelor nimesoma Mzumbe University.
Jamani naomba ushauri kwa wenye very good experience ya maisha ya...
Hiyo ni simple tactic, ukiona mtu anapiga maneno sana na kujifanya ana uchungu sana na Tundu Lisu klk hata Familia yake na kuona mapema kbs hata upepo haujatulia tayari ananyoosha kidole ujue kuna...
Habari zenu wadau?
Nimefuatilia watu wengi pale wanaposhtuka kwa kuona kitu fulani cha ajabu au ambacho sio cha kawaida, mara nyingi huwa wanamuita mama na sio mtu mwingine mfano baba au kaka au...
Baada ya mchakato wa muda kuandaa uchaguzi wa kiongozi wa KKKT Dayosisi ya Konde, hatimaye Mchungaji Dr Edward Mwaikali amechaguliwa kuwa askofu wake huku kanisa likimpumzisha askofu Dr Peter...
Pamoja na mazuri (kama yapo) ambayo yamefanyika kipindi hiki/awamu hii, moja liko wazi: ni kufanikiwa Kujenga chuki, deep rooted chuki among makundi ya watanzania.
Tujitafakari kama taifa kesho...
1:Sokoine pale dakawa Morogoro,dereva wake alipona
2:Chacha Wangwe pale Dodoma dereva wake alipona
3:Mchungaji Mtikila katika ajari,dereva wake alipona
4:Tundu Lissu apigwa lisasi za...
Vijana wengi siku hizi hujikuta wakipandikizwa mawazo kwamba mafanikio hayaji bila mtu kufanya aina fulani ya kazi. Wahubiri wa mawazo haya wanapima tija na heshima ya kazi kwa mizani ya kipato...
Tundu lissu alilamika kuhusu ile Carina, akatoa hadi number za gari. Mwenyekiti wa BAVICHA PATROBAS alifanya mkutano na waandishi wa habari akatoa hadi screen shot za jamaa aliyeomba apewe nafasi...