Nani Muongo zaidi kati ya mwanaume na mwanamke?

stickvibration

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2017
Posts
3,223
Reaction score
5,150
Wanajukwaa wenzangu ningewaomba tujumuike kulikadili hili swala ambalo linaumiza kichwa watu wengi saana,hususan mimi hapa binafsi.
Kila leo hua najiuliza HIVI NA MUONGO KATI YA MWANAUME au MWANAMKE?
Msaada wenu tafadhali kufafanua hili swala
 
"....ambalo linaumiza kichwa watu wengi saana"

KWA KUWA LINAKUUMIZA KICHWA WATU WENGI SANA HATA MIMI PIA LINANIUMIZA KICHWA SANA

Sidhani kama utapata jibu sahihi kwa kuwa kila Jinsi itavutia upande wake na baadhi watabaki neutral
 
Yaah ni kweli kila mmoja atavutia upande wake kutokana na jinsia yake.
Lakini tukiachana na ya jinsia tukaongea ukweli wa dhati kabisa hapo ufumbuzi utapatikana.
Kwa mfano mimi binafsi(nianzie kwangu kwanza)Kwa mtazamo wangu mimi naona SISI WANAUME NDIO TUNAONGOZA KWA UONGO,kwasababu unapomtongoza mwanamke bila ya kumdanganya dunia ya leo hii humpati[emoji3]
Ukizingatia hao hao ukiwapa ukweli wako wkt unatongoza wanakukataa kabisa.lkn ukidamdanganya ni fasta tu anaeleweka
 
Kuna ukweli ndani yake hapa
 
Wote tunasema UONGO ila unatofautiana.

Wanaume wanasemaga uongo wa kujikweza. ...atajisifia kazi anayofanya, mshahara, gari anayomiliki, maumbile/muonekano wake na pengine idadi ya wanawake aliolala nao.

Wanawake watasema Uongo wakujishusha waonekane wasafi. ...pengine atasema wewe ni mwanamme wake wa pili, atakuambia hana hela, atadanganya umri mdogo na hata kupunguza uzito wake/ shape yake .

Ukiweka asilimia nahisi Wanaume wanawazidi wanawake kwa Uongo.
 
Aiseee !

To accomplish much you must first lose everything..
 
Wote tunasema UONGO ila unatofautiana.

Wanaume wanasemaga uongo wa kujikweza. ...atajisifia kazi anayofanya, mshahara, gari anayomiliki, maumbile/muonekano wake na pengine idadi ya wanawake aliolala nao.

Wanawake watasema Uongo wakujishusha waonekane wasafi. ...pengine atasema wewe ni mwanamme wake wa pili, atakuambia hana hela, atadanganya umri mdogo na hata kupunguza uzito wake/ shape yake .

Ukiweka asilimia nahisi Wanaume wanawazidi wanawake kwa Uongo.
 
"....ambalo linaumiza kichwa watu wengi saana"

KWA KUWA LINAKUUMIZA KICHWA WATU WENGI SANA HATA MIMI PIA LINANIUMIZA KICHWA SANA

Sidhani kama utapata jibu sahihi kwa kuwa kila Jinsi itavutia upande wake na baadhi watabaki neutral
Kitendo cha baadhi kubaki neutral kunafanya binadamu wa kiume apate nafuu,maana kwa idadi ya kula kwa uwingi wa wanawake tunakuwa tumepigwa chini....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tukumbuke ya kua na hawa wanawake nao ni waongo
Tena wanakua wakavu usoni kama we fala unaamini moja kwa moja anachosema
 
Back
Top Bottom