mperembi
Member
- Sep 8, 2017
- 35
- 18
Hivi simbachawene na ngonyani wamehusishwa vipi na saga LA madini ilhali ni wanasiasa tu na si wataalam
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Simbachawene aliteuliwa kuwa waziri wa madini nafikiri ilikuwa June 2015 na katika wiki hiyo hiyo moja akatakiwa asaini mkataba wa makampuni kubadilishana umiliki wa migodi. Mkataba huu ulikuwa na utata mkubwa.Hivi simbachawene na ngonyani wamehusishwa vipi na saga LA madini ilhali ni wanasiasa tu na si wataalam
Sent using Jamii Forums mobile app