Tumefanikiwa kujenga chuki/uhasama

Tumefanikiwa kujenga chuki/uhasama

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
53,003
Reaction score
104,450
Pamoja na mazuri (kama yapo) ambayo yamefanyika kipindi hiki/awamu hii, moja liko wazi: ni kufanikiwa Kujenga chuki, deep rooted chuki among makundi ya watanzania.
Tujitafakari kama taifa kesho kitatokea nini?
 
Mbaya zaidi tunayemtegemea aliunganishe Taifa ndio huyo huyo mpanda muhubiri chuki.
 
Mbaya zaidi tunayemtegemea aliunganishe Taifa ndio huyo huyo mpanda muhubiri chuki.
Kitu kizuri ni kuwa yeye mwenyewe anachukiwa zaidi ya anaotaka wachukiwe...labda walio karibu nae hawamuambii ukweli. Ndio maana watu wanamshangaa sana anapotaka wamuombee
 
Back
Top Bottom