Kilio na ndoto yangu ni kufanya kazi na Mhe Raisi Magufuli

Feb 27, 2017
40
13
Aliyetoa taarifa ya kutoroshwa kwa madini ya almasi.Serikali yetu impongeze Hata kumjengea nyumba ya 300m kwa kuwa mzalendo.MIE ni mawazo yangu na sijasukumwa na mtu
 
Huu ni ujinga uliovuka mipaka, upumbavu wa kiwango kikubwa sana, kwahiyo unatafuta kuteuliwa? Jinga sana.
Mura kachoka kupigwa mapanga huko Tarime kwao hivyo anataka msaada kutoka kwa Mkuu wa nchi.
 
Una uwezekano mkubwa sana wa kuonwa, umetokea Tarime.
 
Una uwezekano mkubwa sana wa kuonwa, umetokea Tarime.
SIO KUTOKEA TU TARIME ILA UTAYARI WA KUUZA HATA MAISHA YAKO ILI VIZAZI VIJAVYO VIJUVUNIE WEWE NA SIO VIJIVUNIE MAMIJENGO YAKO, KAMA TUNAVYOJIVUNIA AKINA SOKOINE, MANDELA NA JK NYERERE
 
  • Thanks
Reactions: Auz
Umesahau chama gani mkuu
mkuu hakuna masuala ya chama ila ni kuijenga Tanzania na sio kutamani nchi za wengine na huku ya kwetu ipo tuijenge iwe mahali salama kuishi au unaitaka ulaya,huko vizazi vilivyopita walifanya kazi usiku na mchana ndo maana leo hii wajukuu wao wanaishi vzuri mpaka wewe unatamani kwendapo ila ujue hawakushushiwa toka mbinguni ila kazi ya usiku na mchana
 
Back
Top Bottom