Nampongeza askofu Gwajima lakini kwa hili..

Msanii

Platinum Member
Joined
Jul 4, 2007
Posts
26,500
Reaction score
40,165
Nampongeza kwa ununuzi wa ndege mpya nzuri ambayo kwa mujibu wake anasema itamsaidia kwenye kueneza Injili...

Je atakuwa tayari kuruhusu wakaguzi wa hesabu na SFO wahakiki kuwa hakuna utakatishaji wa fedha unaofanyika hapo...

Wenye maana watakuwa wamenielewa
 
kwa hawa wachungaji sio suala la kushangaza kwanza gwajima hadi hapo bado masikini sana ukimlinganisha na wababe wachache tu wa nigeria au dogo wa malawi/SA.

kuna jamaa US ni mchungaji anaishi kwenye eneo la hekari 1000 humohumo kuna airstrip.
usicheze na sadaka mkuu
 
wabongo wa wivu hamjambo,vipi hapa hao SFO WALIHUSIKA
blogger-image--250043738.jpg
 
Acha mawazo ya kimaskini, kununua ndege ndiyo achunguzwe. Kuna msanii anaitwa jagwa alinunua ndege na hajawai kuchuguzwa,

Mawazo ya kipumbavu ya kuwaza kuwa kila mtu anastailikuwa maskini aliyatumia nyerere kutaifisha mali za watu bila makosa na hadi leo hatujui alifanikiwa vipi .

Ukiwaza kuwa umaskini ni uzalendo na utajiri ni ufisadi juwa kuwa wewe ni mpumbavu kama wale sizonje alisema

Mawazo hayahaya yanatumika dhidi ya Manji nawengineo, kama waliokata na kuharibu greenhouse za mbowe
 
Unatumia nguvu kubwa saana kuelezea jambo usilolijua...

Nimesema akubali kukaguliwa... hayo mengine mnayaongeza ninyi
 
Nampongeza kwa ununuzi wa ndege mpya nzuri ambayo kwa mujibu wake anasema itamsaidia kwenye kueneza Injili...

Je atakuwa tayari kuruhusu wakaguzi wa hesabu na SFO wahakiki kuwa hakuna utakatishaji wa fedha unaofanyika hapo...

Wenye maana watakuwa wamenielewa
gwajima ni muhimu kabisa kufuatilia nyendo zake. huyu sio raia wa kawaida...mchungaji si mchungaji mwanasiasa si mwanasiasa. mfanyabiashara..labda. ni kitu hakieleweki.
 
kwa hawa wachungaji sio suala la kushangaza kwanza gwajima hadi hapo bado masikini sana ukimlinganisha na wababe wachache tu wa nigeria au dogo wa malawi/SA.

kuna jamaa US ni mchungaji anaishi kwenye eneo la hekari 1000 humohumo kuna airstrip.
usicheze na sadaka mkuu
Anaitwa nani???
 
Nampongeza kwa ununuzi wa ndege mpya nzuri ambayo kwa mujibu wake anasema itamsaidia kwenye kueneza Injili...

Je atakuwa tayari kuruhusu wakaguzi wa hesabu na SFO wahakiki kuwa hakuna utakatishaji wa fedha unaofanyika hapo...

Wenye maana watakuwa wamenielewa
wazo pumba
 
Kikubwa Wanamvi nashauri tujaribu kuleta maada zenye tija.
Ila hizi habari za kujadili maisha ya mtu tena kwa kumusemea mambo machafu tusiyokuwa na hakika nayo haipendezi. Tubadilike ili kulijenga taifa letu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu wana magari bei kubwa kuliko cessna 172 ya 77
 
Back
Top Bottom