KKKT Dayosisi ya Konde yapata Askofu Mteule

KKKT Dayosisi ya Konde yapata Askofu Mteule

Mlendamboga

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2011
Posts
671
Reaction score
348
Baada ya mchakato wa muda kuandaa uchaguzi wa kiongozi wa KKKT Dayosisi ya Konde, hatimaye Mchungaji Dr Edward Mwaikali amechaguliwa kuwa askofu wake huku kanisa likimpumzisha askofu Dr Peter Mwakyolile.
Askofu mteule Mwaikali atasaidiwa na msaidizi wake Mchungaji Geifrey Mwakihaba ambaye ameendelea kushikilia nafasi hiyo kwa mara nyingine.
MKUU WA KANISA KKKT ASKOFU DR FREDICK SHOO ndiye aliyesimamia uchaguzi huo , na kwa upande wa wakuu wa majimbo waliochaguliwa ni pamoja na
1. MCH NDIKUTILA MWASANGUTI
2. MCH JUDITH KAJELA
3. MCH CHARLES NDIKUTILA
4. GEORGE MWAKANYAMALE
5. MCH NYIBUKO MWAMBOLA
6. MCH JOHN MWASAKILALE

Mkutano huo umefanyika Septemba 2,2017
copy and paste kutoka Ally Kingo
2017-09-10 08.52.52.jpg
 
Back
Top Bottom