Mungu asikilizi MAOMBI ya Mtu mwovu...

Mungu asikilizi MAOMBI ya Mtu mwovu...

mitale na midimu

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2015
Posts
10,419
Reaction score
17,765
Tofauti na mahakamani ambapo ukikiri Kosa utahukumiwa na kutumikia adhabu, Kwa Mungu tunasamehewa. Kwa wakristo wengi maana nyingine badala ya kupata ile adhabu, adhabu ameshaichukua yesu kwa niaba yetu kama mshtaki wetu Shetani akisimama kizimbani kudai tumependelewa.

Kwa Wote tunaoendelea Kuomba na Kumuombea. Mungu asikilizi maombi ya mtu muovu.
Maombi ya mtu mwovu ni kelele mbele za Mungu.

Nini kifanyike...
Tubu na azimia kuacha mienendo yako miovu, Kisha mimina Moyo wako kwa Mungu atatusikia maombi yetu, na kutujibu majibu yake matatu maarufu sawa sawa na mapenzi yake.

1:Hapana
2:Ndio
3:Subiri

Note:
Kutamani kuomba sio kuomba...
Kusema Mungu sikia kilio chetu bila kukisema hicho kilio sio kuomba...
Kusema Natamani Mungu afanye hivi au vile sio kuomba...
Kusema Mungu anaona, au anasikia malalamiko yetu sio Kuomba

Kuomba ni kitendo cha mawasiliano Mubashara kati ya Mungu na kiumbe chake kikienda kwake kama mtoto apendwae na sio kama adui huku akikitaja kwa jina kile atakacho.
 
Mitale na midimu
Nimekupata vilivyo kabisa
Nimebarikiwa Sana alafa yako

Mungu akubariki Kwa mafunuo mapya
Namuomba Mungu azidi kukupa mafunuo mapya
Amen.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom