Selcom Tanzania ni changamoto

Selcom Tanzania ni changamoto

Issa SLuu

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2013
Posts
2,303
Reaction score
1,804
Aisee hii nchi kuna mambo ya ajabu sana,

Tangu asubui umeme na maji vinasumbua kununua kwa njia zote za M-PESA au T-PESA, kila ukijaribu wanakuambia Selcom kuna tatizo la mtandao. Sasa sijui nani atatulipa kwa usumbufu huu na hasara ambazo tunaingia watumiaji wa hizi huduma muhimu. Na ishakuwa ni kero ya muda mrefu sasa.

Ukija Tigo nao huduma zao siku hizi kila mara wanajifanya huduma ya T-PESA haipatikani wanaboresha mtandao miaka yote ndio ngonjera zao hizo.
 
Back
Top Bottom