fdizzle
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 1,902
- 2,405
Kwanza natanguliza pole ya dhati kwa masahibu yaliyomkuta Mh. Tundu.
Kiukweli kama inavyosemekana kuw a zilimwagwa risasi zaid ya 28 kuelekea alipo yeye, kuwa mzima ni kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu tu.
Kiukweli hii ya Tundu imenikumbusha movie moja matata sana ya Arnod Schwarzenegar inakwenda kwa jina la Predator.
Huyo kiumbe baada ya kumuua Poncho(naweza kurekebishwa) ambae alikuwa anajaribu kumzuia Anna asitoroke wakakubaliana kutawanyika na kuanza kutafuta kilichomuua Poncho.
Kuna mmoja anaitwaBlain (naweza kurekebishwa) akakutana na kamdudu dizaini ya nyegere akakadharau na kugeuka kutak kuonsoka ndipo kw a mbali akajitokes Predator na kumfumua na silaha yake iliyopelekea kufumua kifua cha Blain chote.
Baada ya shambulio hilo Predator akawa anajisogeza kuchukua windo lake aliloliua kumbe Bill Duke au Mack akawa nae kashafika eneo la tukio ikawa ni uso kwa uso Bill Duke na Predator kilichofuata ni Bill Duke kufany shambulio la risasi kuelekea kw Predator na kile kiumbe kikaanza kukimbia kuokoa maisha yake huku napo Arnod na wenzake walipofika eneolile hawakuwa na cha kupoteza wala kuuliza ni kushambulia tu uelekeo anaoshambulia Bill Duke baada ya mud wakastop na kumtupa mmoja wao kwenda kufanya survey na aliporudi akamwambia, Major(Arnod) "There is no body no blood, we hit nothing" ilimshangaza Arnod ikabidi amuulize Bill Duke "Mack what did you see", jibu la Bill Duke likawa;
"Major, what I know is a min gun full pack at such a small range, nothing, nothing in this world could survive"