Hiki ndicho alichokifanya kipanya kuhusiana na Vodacom Red RLX

stellahthatcher

Senior Member
Oct 14, 2015
168
164
Kipanya rasmi sasa amejiunga na VodacomRED na atakuwa anakuletea mfululizo wa maisha anayoishi sasa baada ya kujiunga na huduma hii mpya inayotolewa na kampuni ya simu nchini Vodacom Tanzania. Hatujui atatuletea nini lakini tunaimani atawapa wafuasi wake faida anazozipata akiwa na Red RLX, endelea kufuatilia hapa kuona nini atatuletea.
upload_2017-8-31_11-31-44.png




Vodacom Red ni mpango maalum unaojumuisha vifurushi na kulipa kadri mteja atumiavyo na lengo ni kuwafanya wateja wa Vodacom waishi bila wasiwasi linapokuja suala la mawasiliano. Vifurushi hivi vina dakika nyingi, MB za intaneti nyingi, SMS nyingi na pia dakika za kupiga simu nje ya nchi.

 
Ndo maana kaenda likizo ya hadi desemba baada ya kumsema mzee wa makanika na kalamaganda
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom