Tanzania House of Talents (THT) imekua THT Media?

Hhay Fissoo

New Member
Feb 16, 2016
3
4
Wadau nimekua nafuatilia ukurasa wa THT kwenye Facebook. Lakini toka juzi naona umeanza kubadilika kutoka kuwa NGO sasa wanajiita THT Media na wanaonekana ni a Media and Productuion House. Wale jamaa vipi tena. Au nalo lilikua jipu? Cheki link THT Media
 
Back
Top Bottom