Bunju 'A', Dar es Salaam: Tumekubwa na uhaba wa maji kwa wiki tatu sasa

dibwe

Senior Member
Aug 20, 2015
108
81
Habarini wana JF.

Maeneo ya Bunju A kumekuwa na shida ya maji ya DAWASCO wiki ya 3 sasa. Tunalazimika kununua maji kutoka maeneo ya mbali na kwa gharama kubwa.

Mwenye kujua pengine kuna matatizo gani kwenye ugawaji wa maji eneo hilo naomba anijuze jamani.

Nimepost humu nikijua kuna wafanya kazi wa Dawasco wanao weza kuwa na ufahamu juu ya chanzo cha tatizo, ama member ambaye anajua kuhusu hilo tatizo la maji kwa eneo kubwa.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata Kunduchi, Tegeta Masite siku ya 4 sasa hakuna maji.... DAWASCO ovyo kabisa... Na hapo kwenye bill tarehe 10 ikifika wanakutumia bill ya mwezi mzima wakati mwezi haujaisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom