TATO watoa Pikipiki na kujenga kituo cha polisi

TATO watoa Pikipiki na kujenga kituo cha polisi

MPadmire

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Posts
3,956
Reaction score
3,245
Leo TATO wamefanya mkutano wao wa Mwaka

Wameamua kutoa piki piki zaidi ya 20 kwa ajili ya Doria Polisi na Kujenga kituo cha Kisasa Tourism and Diplomatic Polisi

Tourism is number one earn of foreign currency

TATO watibuana na TCT

Mahesabu ya TATO hayajapitishwa....Imeundwa tume ndogo kuchunguza
 
TATO - Tanzania Association of Tour Operators

TCT - Tanzania Confederation of Tourism
 
Back
Top Bottom