Jile79
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 17,668
- 13,281
Wakati wale maadui watatu waliotangazwa na Mwl Nyerere hatujamalizana nao. Wamejitokeza kwenye uongozi huu maadui wawili wa nyongeza na hatari sana katika Taifa hili....
NAWATAJA:
1. MAAGIZO KUTOKA JUU
2. WATU WASIOJULIKANA
3.
4.
Watz wote bila kujali itikadi zetu tofauti tofauti, tuungane kupambana nao kwani hao maadui wapya hawachagui chama bali wapo kujenga himaya yao ya milele kwa njia ya kutisha, kukandamiza, kutesa na kuua wale wote walio kinyume nao.