binafsi nimeishia kucheka tu maana mawazo yamegongana aisee...kwa wale wadunguaji wa kibiti hata uvae vyuma mwilini kama kichwa kipo wazi kazi bure tu!
Wameangalia target kubwaivi hao watengenezaji kwanin hawajatengeneza za mwili mzima hadi Leo? kichwa na kifua udelicate wake unaalingana tu
Unafatwa nini jomba?View attachment 587995
View attachment 588000
View attachment 587999
The BulletSafe Bulletproof Vest - Level IIIA for $299 - The Best Value
sio kweli mkuu usidanganye uma ila kwakuwa haupo kwenye hiyo fani sio mbaya helmet ya chuma inasaidia risasi haikupati kwakuwa ipo round inafanya risasi kuteleza hivyo ngumu kuingia kichwaniKofia ya chuma risasi inapita vizuri.
Nilimuuliza mkufunzi wa jeshi why vitani ziwaliwe hard helmet akajibu ni kwa ajili ya kumkinga askari na magamba ya risasi anazoziachia yeye na jirani yake na pia inakinga baadhi ya adha ila risasi iliyolengwa kwako haiwezi kukingwa na yale makofia labda risasi iliyotoka
mbali sana huku inahitimisha mwendo wake ndo yaweza kugonga tu
Inakinga vizuri tu acha uongo,usilolijua sawa na usiku wa giza,penda kutetea kitu cha fani yako unachojuaKofia ya chuma risasi inapita vizuri.
Nilimuuliza mkufunzi wa jeshi why vitani ziwaliwe hard helmet akajibu ni kwa ajili ya kumkinga askari na magamba ya risasi anazoziachia yeye na jirani yake na pia inakinga baadhi ya adha ila risasi iliyolengwa kwako haiwezi kukingwa na yale makofia labda risasi iliyotoka
mbali sana huku inahitimisha mwendo wake ndo yaweza kugonga tu
Nadhani sio kwa nchi zoteBasi tufunge mjadala.
Wewe hujawahi kupigwa risasi ikateleza na wala mimi.
Sote tumeambiwa na watu tu. Mimi niliambiwa na OC wetu while niko jeshini miaka kadhaa iliyopita nawewe yawezekana uliambiwa na Kamanda wako au mtu mwingine.
Kila mmoja akariri aliloambiwa.
Siko jeshini ila niko kwenye chombo cha ulinzi na usalama.
A nice sniper will dungua yu kupitia jichoni!ivi hao watengenezaji kwanin hawajatengeneza za mwili mzima hadi Leo? kichwa na kifua udelicate wake unaalingana tu