Halotel mnakera, internet yenu imepungua kasi sana

Sigara Kali

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2017
Posts
3,712
Reaction score
8,769
Uzi huu uwafikie halotel Tanzania,

Niwaulize mmeanza kulewa sifa? Wiki kadhaa sasa kasi ya internet yenu ni ya mwendo wa Kobe. Inasoma H+ lakini kufungua pages ni inshu, kama kufungua JF ni tatizo, kutuma picha WhatsApp ni tatizo, Instagram na pages za website mbalimbali zinafunguka kwa shida.

Nawaambieni mnaboa sana siku hizi, zamani kutoka Mwanza mpaka tabora huko mtandao njia nzima full H+but siku hizi hata ukiwa town ni shida.

Mmwelewa sifa sio jirekebisheni. [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
 
Uzi huu uwafikie halotel Tz
Niwaulize mmeanza kulewa sifa?
Wiki kadhaa sasa kasi ya internet yenu ni ya mwendo wa Kobe
Inasoma H+ lakini kufungua pages ni inshu ,kama kufungua JF ni tatizo,kutuma picha WhatsApp ni tatizo ,Instagram,na pages za web mbalimbali zinafunguka kwa Shida
Nawaambieni mnaboa sana siku hizi
Zamani kutoka mwanza mpaka tabora huko mtandao njia nzima full H+but siku hizi hata ukiwa town ni Shida
Mmwelewa sifa sio jirekebisheni.[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Sanaaaaa yan acha tuu THEN WANABADILISHA BANDO KILA SK

Sent using Jamii Forums mobile app
 
naombeni ushauri, nimetoka airtel kuja halotel sasa nafikiria kurudi airtel, je kuna mabadiliko?

kuhusu voda sitaki hata kusikia
 
Uzi huu uwafikie halotel Tz
Niwaulize mmeanza kulewa sifa?
Wiki kadhaa sasa kasi ya internet yenu ni ya mwendo wa Kobe
Inasoma H+ lakini kufungua pages ni inshu ,kama kufungua JF ni tatizo,kutuma picha WhatsApp ni tatizo ,Instagram,na pages za web mbalimbali zinafunguka kwa Shida
Nawaambieni mnaboa sana siku hizi
Zamani kutoka mwanza mpaka tabora huko mtandao njia nzima full H+but siku hizi hata ukiwa town ni Shida
Mmwelewa sifa sio jirekebisheni.[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Alafu hao halotel ukienda miji mikubwa zero kabisa yani ukiwa mwanza ata picha hupost sijui wamekuaje nikiwa Mwanza,Arusha au Dar lazima nihamie airtel halotel acheni hizo
 
Tatizo ni ITEL yako hiyo imejaa junk files+Ram ndogo ndo inakuzingua!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niko chini ya mnara wao, lkn network imepotea kabisa!
 
Mi nataka kurudi Airtel nilikotoka maana halotel wameshajisahau kama Voda
 
Daaaa wajirekebishe aiseeee kiukweli hali imekuwa mbaya mno
 
Alafu hao halotel ukienda miji mikubwa zero kabisa yani ukiwa mwanza ata picha hupost sijui wamekuaje nikiwa Mwanza,Arusha au Dar lazima nihamie airtel halotel acheni hizo
Mkuu mi wananichefua sana nipo kanda ya ziwa ni matatizo tu,natamani kuhamia voda ila daaah hao ni balaa hizo gharama zao, airtel tangu ije Tz sijawahi kutumia ,hawa halotel nlianza nao vizuri ila naona sasa wamelewa sifa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom