Ulinzi wa bomba la mafuta kutoka UGANDA

Ulinzi wa bomba la mafuta kutoka UGANDA

donniebrasco

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2013
Posts
887
Reaction score
775
Habari ndugu,
Kuna tetesi nlizisikia sehemu kuwa eti kuna kampuni ya israel inataka iombe tenda ya kulinda Pipe Ya Mafuta Itokayo UGANDA.

Naomba mnisaidie kama ni kweli au la...

Na kama ni kweli nawaomba wahusika hususan Mh Rais JPM
asikubali, kwa maana hiyo tenda ni bora wapewe JESHI LETU JWTZ kwa maana ni hodari sana na makini hawa WAISRAEL ni wapiga dili tu wajanja wajanja tu wanajifanya kila kitu wao ndio wanajua tu wakishirikiana na wamarekani.

Na ninaamini JWTZ wakipewa hiyo kazi hakuna mtu atakayethubutu hata kusogelea hilo bomba.
 
Kweli mkuu umenena vyema
Maana jwtz wapo tu wanalanda landa makambini ,wapewe hilo jukumu
 
JWTZ wanakazi za muhimu sana na wanafanya kazi kubwa sana kuliko hilo bomba la mafuta. Labda suma jkt ndio wafanye huo ulinzi. Maoni yangu
 
Lisemwalo lipo
Hapo kama ni kweli tumeibiwa
Yaani hawataki tuwe na maisha mazuri hawa
Hapo bomba linavutwa lingine mpakaniii wanachukua kiulaini
Wazungu ndio njia zao za kupiga hata Saddam walimfanyia hivyo ohooooo shtukeni
 
Back
Top Bottom