Gulio Blog
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,056
- 4,124
nilikuwa natamani kufanya biashara kupitia page ya Facebook ila naona gharama za kupromote imekuwa kubwa sasa miaka miwili iliyopita nilikuwa naona gharama Lima cha chini $2 ila sasa in $7
kitu ambacho naona ata wenye page kama bongo5 sioni page yao kwa sasa ikipromotiwa kama mwanzo
kitu ambacho naona ata wenye page kama bongo5 sioni page yao kwa sasa ikipromotiwa kama mwanzo