Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Katika swala zima la shambulizi la risasi kwa mh. TL kunavitu viwili nimegundua 1 muenekano wa kivuli chamtu kinacho onekana kwenye rangi yagali ya muheshimiwa TL 2 ni aina ya ushambuliaji wake...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Katika Hali isiyo ya kawaida,nchini Uganda chini ya baraza la mawaziri wamekusudia kupeleka muswada bungeni wa kumuongezea muda raisi wa sasa mhe.Kaguta Museveni na kumpa uwezo wa kutawala hadi...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu salaaam nyng kwenu.... Naulizia tu zile pesa tulizoahidiwa na mkulu vip zilisha toka? Nataka nikakope Maana nipo tait sana nataka niongeze kimtaj cha kiduka changu hapa hali mbaya sana...
0 Reactions
4 Replies
899 Views
Naomba kujuzwa Najua hapa Kwetu Mirungi ni zao haramu ambalo limewekwa katika Batch ya madawa ya kulevya! Nacho jiuliza je Tanzania ndiyo ina wataalamu wazuri wa Kilimo kuliko Kenya?? Je utengano...
0 Reactions
2 Replies
812 Views
Mjumbe wa kamati kuu ya CCM Taifa na Wakili wa kujitegemea Jonas Nkya amechukuliwa RB ya wizi wa kuaminika wa gari lenye usajili namba T404 BBP. Wakili Jonas Nkya amechukuliwa RB hiyo na dada...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Yaani hata ukipewa mtihani lazima upangilie muda na uchague maswali ya kuanza nayo, ukirukia rukia maswali lazima uone muda hautoshi na uanze kulalama wakati mwanafunzi mwenzio katumia muda...
0 Reactions
5 Replies
850 Views
1) Ikiwa unaamka mpaka usiku wa manane ili uwe online kwa ajili ya kupiga soga na marafiki basi simu yako inakutumia. 2) Ikiwa uliwahi kukoswa koswa na gari au piki piki barabarani kwa kuwa...
11 Reactions
39 Replies
3K Views
Hi wana JF Hili niandikalo ni jiwe gizani na mhusika namfahamu yupo JF atasoma thread hii. Amekuwa na tabia ya kuchoma wagonjwa maji badala ya dawa ili auze dawa. Mungu anakuona siku zako...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Source ITV Leo wizara imekiri kuwa star times hawalipii kodi ving'amuzi vyao wakati huo huo kampuni nyingine zinalipa kama kawa. Kisa wao waliomba wasilipe kodi na serikali ikaonelea ombi lao lina...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kwa wale walimu ambao wamewahi kuwatongoza au kufanya ngono na wanafunzi wao au au wanafunzi waliowahi kuwatongoza au kufanya ngono na walimu wao, njoon tupeane uzoefu kidogo...... Binafsi nliwai...
1 Reactions
12 Replies
8K Views
Wadau hongereni kwa mapumziko ya mwisho wa wiki. Naomba kujua kwa hapa Arusha maeneo gani naweza pata ile appetizer yetu maarufu kwa jina la KICHURI. Ukweli ukiagiza nyama choma kisha ukawa na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jukumu kubwa la Polisi ni kulinda raia na mali zao kwa gharama yoyote ile. Tunawalipa Jeshi hilo kupitia kodi zetu ili watufanyie kazi hiyo muhimu kabisa katika maisha yetu Leoi ni siku ya siku...
2 Reactions
50 Replies
5K Views
Muziki unapigwa mtaani muda huu jumapili saa 6:55 usiku yaani no kero serikali ya Magufuli haipo huku Rungwe Tukuyu Mbeya
0 Reactions
15 Replies
3K Views
<br /> Taarifa iliyoambatana na majina ya waliochaguliwa kujiunga kwa udhamini wa serikali ilibainisha kuwa tar 18 chuo kinafunguliwa kwa masomo ya diploma ila hadi hivi sasa majina ya private...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
NB:Nafikiri hii ni kampuni ya mmoja wa wadau wenzetu wa JF anaitwa Chris Lukosi ,kada kindakindaki wa CCM mitandaoni anayeishi UK. Naona Serikali imeondoa hili "deal" kwa hii kampuni....
3 Reactions
31 Replies
6K Views
Ni furaha kwa kijana na mzazi au mlezi wake kuona kijana wake anajitegemea na kutegemewa pia. Ili kijana aweze kujitegemea na kutegemewa lazima awe amejiajiri au ameajiriwa. Ila mara nyingi suala...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Habar Jf, Poleni kwa mihangaiko ya kutafuta riziki. Kuna katabia kamezuka hapa mtaani kwetu,, wizi umevuka mpaka. Nilikuwa na safar ya cku moja ,,,home nilifunga vzur kabsa,,,wataalamu wamekuja...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Electronic money system kama mobile money transfer,simbanking na nyinginezo ambazo zimegeuza mfumo wa pesa kutoka kwenye makaratasi mpaka kuwa interm of electronic digits ni moja ya mafanikio ya...
4 Reactions
56 Replies
5K Views
Watu wengi tumepitia changamoto sana kwenye maisha Na Bado tunapitia. Tofauti ni kutofautiana matukio Na jinsi tunavyopambana nazo. Nakumbuka Na Bado nakumbuka maisha ya utoto wangu mpaka Leo hii...
71 Reactions
265 Replies
23K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…