Serikali kupitia TBS yasitisha mkataba na kampuni ya Serengeti Global Service Ltd upimaji wa magari kutoka UK

barafu

JF-Expert Member
Apr 28, 2013
6,726
32,818
image.jpeg

NB:Nafikiri hii ni kampuni ya mmoja wa wadau wenzetu wa JF anaitwa Chris Lukosi ,kada kindakindaki wa CCM mitandaoni anayeishi UK.

Naona Serikali imeondoa hili "deal" kwa hii kampuni....
 
safi sana...yule mwenye hiyo kampuni alikuwa mtu wa viherehere sana hapa jf miaka ya 2012 - 2014.

alikuwa "anajifanya" kuipenda ccm kuliko hata wenye ccm yao.

asante sana serikali ya JPM.
 
View attachment 589945

NB:Nafikiri hii ni kampuni ya mmoja wa wadau wenzetu wa JF anaitwa Chris Lukosi ,kada kindakindaki wa CCM mitandaoni anayeishi UK.

Naona Serikali imeondoa hili "deal" kwa hii kampuni....

Kwa hiyo gari ikishafika hapa bongo kama halifai linatupwa?, gharama za usafirishaji zitarudishwa?, je kama lina madhara hayo ya mionzi si yatakuwa yameshaingia nchini?

Busara ingekuwa ni kutafuta kampuni nyingine hukohuko nje ili kuepuka usumbufu ambao ni dhahiri utajitokeza
 
Sa tolea m2 kaagiza gari toka UK lifike bongo ndo lipimwe afu lionekane halijakidhi vigezo....hapo inakuaje labda?
 
hapa kutakuwa na shida maana ukaguzi unafanyika pale gari inapotoka ili kama ikibainika kuna tatizo basi huwezi kupewa vibali vya kusafirisha ,lakini unasafirisha mpaka Tanzania kutoka Uingereza then endapo gari litagundulika kuwa na shida katika matumizi ya hapa Tanzania itakuaje?
Hapa tunaomba TBS muweze kufafanua vizuri ili wanajamii ya watanzania waweze kuelewa ili kuondokana na matatizo ambayo yanaweza kujitokeza siku za usoni
Je,pia ufafanuzi kuhusu hapo chuo cha NIT, tayari wana kitengo maalumu kwa ajili ya hiyo kazi maana ile ni taasisi ya elimu na inashughulika na elimu kwa sasa
 
View attachment 589945

NB:Nafikiri hii ni kampuni ya mmoja wa wadau wenzetu wa JF anaitwa Chris Lukosi ,kada kindakindaki wa CCM mitandaoni anayeishi UK.

Naona Serikali imeondoa hili "deal" kwa hii kampuni....
Naomba kuwauliza TBS
1.Ikitoke gari limefeli vipimo vyenu nini kinafuata.
2.NIT na VOSA MOT certificate ipi inaweza kuhakikisha standard ya gari iliotengenezwa UK/EU?
3.SGS nao vipi hawapimi magari?

Mwanzo tulihoji huyu Serengeti anafanya nini zaidi ya MOT Test?
 
hapa kutakuwa na shida maana ukaguzi unafanyika pale gari inapotoka ili kama ikibainika kuna tatizo basi huwezi kupewa vibali vya kusafirisha ,lakini unasafirisha mpaka Tanzania kutoka Uingereza then endapo gari litagundulika kuwa na shida katika matumizi ya hapa Tanzania itakuaje?
Hapa tunaomba TBS muweze kufafanua vizuri ili wanajamii ya watanzania waweze kuelewa ili kuondokana na matatizo ambayo yanaweza kujitokeza siku za usoni
Je,pia ufafanuzi kuhusu hapo chuo cha NIT, tayari wana kitengo maalumu kwa ajili ya hiyo kazi maana ile ni taasisi ya elimu na inashughulika na elimu kwa sasa
Boss kabla huja import gari soma conditions za magari nchini mwako mfano kuna size ya upana na urefu gari haitakiwi kuzidi na gari za abiria lazima ziwe na usukani right hand side na uelekeo wa taa ni lazima zipige kulia ndo vitu wanavyo kagua
 
Huyu Mhehe alirudi ccm baada ya kuanzisha hiyo kampuni ili 'wamlinde' sasa ataiona ng'ondo.
Lukosi ana akili kuwazidi ninyi wa mtandao. Hiyo kampuni aliiacha kitambo na ana nyingine inaitwa KC anafanya mnada wa magari na kila takataka ktk Facebook live. Tafuteni jinsi ya kujikwamua na maisha ya JPM kabla hamjaanza kuwakejeli wajanja.
 
Kumbe alikua mwajiriwa tu haikua ya kwake??
Na alivyokua akijipia ujiko
Lukosi ana akili kuwazidi ninyi wa mtandao. Hiyo kampuni aliiacha kitambo na ana nyingine inaitwa KC anafanya mnada wa magari na kila takataka ktk Facebook live. Tafuteni jinsi ya kujikwamua na maisha ya JPM kabla hamjaanza kuwakejeli wajanja.
 
Kuna kamati iliwahi kuituhumu hiyo kampuni kua walipewa tenda kinyemela, walikua hawakagui magari na kutoza bei kubwa.

Nadhani hiyo kampuni ilikua inakula na mkuu wa TBS aliefukuzwa kazi somebody Charles kama sijakosea kwa mujibu wa hiyo kamati.

Vikampuni vingi Bongo vilikua vinaishi kijanja janja sana. Sasa Magufuli atawaua na njaa.
 
Back
Top Bottom