Naweza kupata wapi Kichuri Arusha

Naweza kupata wapi Kichuri Arusha

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2017
Posts
1,605
Reaction score
1,958
Wadau hongereni kwa mapumziko ya mwisho wa wiki.
Naomba kujua kwa hapa Arusha maeneo gani naweza pata ile appetizer yetu maarufu kwa jina la KICHURI. Ukweli ukiagiza nyama choma kisha ukawa na hiyo kitu ukapata na ugali wa kulee kanda ya ziwa ukaongezea na maziwa, ni raha isiyo mfano. Wadau karibuni sana.
 
Pole sana kaka nadhani kwa pande hiyo utasubilia sana labda uweke order maalum.
 
Back
Top Bottom