KERO: Tukuyu muziki ruksa usiku ?

congobe

JF-Expert Member
May 31, 2012
561
129
Muziki unapigwa mtaani muda huu jumapili saa 6:55 usiku yaani no kero serikali ya Magufuli haipo huku Rungwe Tukuyu Mbeya
 
Kazi ya wenyeviti wa mitaa kudhibiti hayo lakini hawafanyi. Wanasubiri police wapite, nao patrol mwisho saa 4, wanaogopa watu wasiojulikana.
 
kweli ngoja tujaribu uvumilivu
Khaaa wanyakyusa wameacha kunywa mataputapu siku hizi wanakunywa bia kweli wonders shall never end, Hao wanyakyusa ni wachafu sijawahi kuona ule unywaji wa pombe midomo yote bakuli moja, Ahaaa nakumbuka mtu wanakula pamoja kwenye misiba anaamua kunyanyua bakuli la mchuzi na kunywa ni uchafu uchafu, Badilikeni jamani magonjwa siku hizi
 
Hivi hapa Tanzania hakuna miji mingine yenye bar au pub zinazopiga muziki hadi usiku wa manane, nina wasiwasi na mleta maada toka alikokuwa anaishi ni mara ya kwanza kwake kufika mjini.
 
Khaaa wanyakyusa wameacha kunywa mataputapu siku hizi wanakunywa bia kweli wonders shall never end, Hao wanyakyusa ni wachafu sijawahi kuona ule unywaji wa pombe midomo yote bakuli moja, Ahaaa nakumbuka mtu wanakula pamoja kwenye misiba anaamua kunyanyua bakuli la mchuzi na kunywa ni uchafu uchafu, Badilikeni jamani magonjwa siku hizi

Mkuu, hebu watake radhi wanyakyusa aisee.. mimi nakaa nao huku mwaka wa nne huu sijayaona hayo unayoyasema.
 
tatizo upo karibu na vibanda vya ulanzi kule makandana! Nenda pale msasani utulie mkuu!
 
Back
Top Bottom