Uchunguzi huu sio wa nnchi hii

Uchunguzi huu sio wa nnchi hii

FBI CIA

Member
Joined
Aug 24, 2017
Posts
52
Reaction score
43
Katika swala zima la shambulizi la risasi kwa mh. TL kunavitu viwili nimegundua 1 muenekano wa kivuli chamtu kinacho onekana kwenye rangi yagali ya muheshimiwa TL 2 ni aina ya ushambuliaji wake kwa maana yamshambuliaji kupiga risasi kuanzia juu kushuka chini. Subili taarifa mbaya iliyo tokana Na huu uchunguzi kutoka Huku nilipo
 
Mkuu, sasa mbona taarifa yako haijashiba? Hebu jazia nyama.
 
Katika swala zima la shambulizi la risasi kwa mh. TL kunavitu viwili nimegundua 1 muenekano wa kivuli chamtu kinacho onekana kwenye rangi yagali ya muheshimiwa TL 2 ni aina ya ushambuliaji wake kwa maana yamshambuliaji kupiga risasi kuanzia juu kushuka chini. Subili taarifa mbaya iliyo tokana Na huu uchunguzi kutoka Huku nilipo
Mchunguzi wa banda la video
 
Albadili c mchezo..... Picha unazoziona zimepigwa baada ya tukio. Kama unahisi kuna kivuli basi ni chako.
 
Back
Top Bottom