Wakuu salaaam nyng kwenu....
Naulizia tu zile pesa tulizoahidiwa na mkulu vip zilisha toka? Nataka nikakope
Maana nipo tait sana nataka niongeze kimtaj cha kiduka changu hapa hali mbaya sana..
Km kila wilaya au kata imepelekewa nielekezeni jins yakwenda kukopa maana riba za kwny mabenk na masharti nimeshindwa
Nawasilisha kwenu...