Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoani Pwani (SSP) Abdi Issango amelazwa kwenye Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Pwani Tumbi Kibaha Mkoani Pwani baada ya kupata ajali. Kamanda huyo amepata...
0 Reactions
132 Replies
15K Views
Nimepita maeneo ya daraja la Salender, naona kuna polisi wenye silaha wanazama msituni pale na kuna gari la uokozi la Msalana Mwekundu. Kuna nini kimetokea? Anayejua.
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Leo hii kuna tukio kubwa la ziara ya Mh Rais katika Mkoa wa Manyara kuzindua barabara ya KIA hadi Mererani, vituo vingi vya binafsi vya luninga vinarusha live matangazo hayo bila matatizo sasa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu Mheshimiwa Raisi anahutubia Simanjiro muda huu na akimaliza anaenda kufungua barabara. Sisi tulioko Arusha barabara imefungwa kuanzia Tengeru hadi KIA tukisubiri msafara wa Raisi baada ya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mheshimiwa waziri, nilienda hospitalini hapo ntibiwe saa 21:30, kufika dirishani kuonyesha kadi yangu ya NHIF jamaa aliyepo registration kakunja sura na kusema SASA HIVI HATUTIBU KWA NHIF...
16 Reactions
51 Replies
8K Views
Watanzania kutoka kila pande kila siku tunawaona wakikabidhiwa mamilioni lakini hatuoni maelezo yoyote kama TRA wanachukua kodi yao. Kwa mujibu wa sheria za kodi hiyo ni income ni lazima ikatwe...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
Mniwie radhi kwa kuwa mkali kidogo.Lakini hakuna pakusemea ni hapa hapa duniani.Japo sio wote lakini ni dhahiri ndugu zetu hawa wanazingua kwenye kazi,hawajitumi,ruhusa zisizo isha,hawana mda wa...
16 Reactions
189 Replies
25K Views
September 19, 2017 Mariam Mallya Jeshi la Polisi kanda maalumu ya Dar es salaam limefanikiwa kuwaua Majambazi watatu na kuwakamata wengine wawili huko Vingunguti-Becco katika Mkoa wa kiporisi...
3 Reactions
89 Replies
10K Views
Ndege iliyobeba miili ya watanzania 13 waliopata ajali nchini Uganda imewasili jijini DSM usiku wa kuamka leo. Miili hiyo imepelekwa hospitali ya Lugalo ambapo leo saa 3:30 asubuhi kutafanyika...
4 Reactions
27 Replies
6K Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora linawashikiria watu 44 wa kijiji cha Mwamabondo wilayani Uyui kwa tuhuma za kuwashambulia silaha za jadi na kuwauunguza kwa moto wanawake waanne wakiwatuhumu kuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mkuu wa Kikosi cha Usalama barabarani, Kamanda Fortunatus Musilimu ametangaza kiama kwa madereva wasiotaka kutii Sheria za barabarani. Amesema hayo leo wakati wa Shindano la Uchoraji wa Picha za...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
DNA (Deoxyribonucleic acid) Kipimo cha kuthibitisha wazazi wa mtoto. momma's baby.......daddy's maybe! Ni msemo unaomaanisha mtoto ni wa mama. Baba anaweza kushiriki au kutoshiriki katika kumlea...
2 Reactions
3 Replies
5K Views
Tangu wiki ianze Polisi wanakamata bajaji. Hakuna kupakia watu zaidi ya watatu Pili watoe ngao, yaan imesababisha usumbufu mpaka imefikia Polisi wanakimbizana na bajaji utadhan majambazi. Kwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wana jf ni miezi mingi imepita tangu mwaka uanze nmeona nianzishe uzi huu kwa nia njema kabisa ya kuwakumbusha watu mipango na mikakati waliojiwekea kuifanya ndani ya mwaka huu ili mwaka...
0 Reactions
2 Replies
834 Views
HabariHospitali kubwa na ya Kisasa ya chuo kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MAMC) kufunguliwa na rais DK Magufuli mwezi ujao.Hospitali hii ipo Kibamba, Mloganzila, jijini Dar Es...
2 Reactions
12 Replies
6K Views
Naanza kuona umuhimu na ukomo Wa kufanya kazi serikalini iwe ni miaka isiyozidi saba -kumi (7yrs-10yrs) ili kupisha na wengine watumikie taifa lao, hii italeta tija zaidi ya MTU kutumikia taasisi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
PADRI: KANISA LIWAINUE KIMAISHA MAKATEKISTA. Kanisa Katoliki limeshauriwa kuwafikiria upya Makatekista ambao ni mhimili wa Kanisa na kuwasaidia kupunguza ukali wa maisha ya familia zao kutokana...
7 Reactions
22 Replies
6K Views
Inapopatikana na ajira zake tafadhali msaada wenu wana JF
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, inatarajia kusikiliza kwa siku tatu mfululizo ushahidi wa utetezi katika kesi ya dawa za kulevya inayomkabili Mfanyabiashara Yusuf Manji kuanzia September 25 hadi...
5 Reactions
44 Replies
6K Views
Utangazaji Wa TV unanidham yake, haipendezi mtangazaji kila saa unanyoosha kidole kwenye kamera. Hata wale wanaoongea kwenye public wanafahamu protocol hii huchunga sana kuwanyooshea kidole...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…