Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari wana JF, Enzi za JK walimu kupitia viongozi wa CWT walikuwa wakitangaza migomo wakidai haki zao kama vile nyongeza ya mshahara, n.k. Siku hizi mbona hatusikii viongozi hao wakitangaza...
3 Reactions
33 Replies
3K Views
Pengine ni stress tu za maisha zinanifanya nishindwe ku enjoy vichekesho vya huyu jamaa kwa maana kila kichekesho chake nnachotazama hua sicheki ama kufurahi kabisa naona kama ni vitu vile vile tu...
7 Reactions
57 Replies
19K Views
Habari za mihangaiko wanajamii wenzangu. Naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Wakuu ni hivi; kuna jamaa ambae tulifahamiana kwa ukaribu kidogo, ila sijawahi kuona familia yake (Baba na mama)...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Michango wanayotoa wafanyakazi katika vyama vyao ni mabilioni ya shilingi kwa mwezi, je fedha hizo zinafanya kazi gani? Je wafanyakazi mmeshawahi kuona bajeti za vyama vyao? maana hawa wawakilishi...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Mahakama imewaachia huru vigogo wa Mradi wa Mabasi ya Mwendokasi kwenye kesi ya kusababisha hasara ya Mil 83.5. ========= Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewaachia huru vigogo watatu wa Mradi wa...
3 Reactions
34 Replies
5K Views
Naona kama Kero sasa maana unakuta tangazo limetolewa kwenye website husika wakati huo huo unakuta mtu anapost kwenye link ya blog yake. Sijajua wataalam wa IT ndio nini hii maana kama unatangaza...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kabla ya kuongea fikiria kwanza na tumia busara. Ongea kusaidia watu wako (Watanzani) sio kuonesha kuwa umesoma. Wasomi wa kweli wanapenda sana kusikiliza kuliko kuongea. Ndio maana hawapati...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu wasalaam. Jamani kumekua na ongezeko la shilingi 100, 200, na 500 huku mtaani, hii inamaanisha nini kiuchumi? Naomben kujuzwa tafadhari
0 Reactions
11 Replies
1K Views
*Kampuni Ya Kutengeneza Magodoro La Ergoflex La Uingereza Lilifanya Utafiti, Mwaka, 2013 na Kugundua Kuwa Wanaume Wengi, Mabachela, Hubadilisha Mashuka Kitandani Mara 4 Kwa Mwaka.*
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nyalandu Kumpeleka Tundu Lissu Marekani Kwa Matibabu Zaidi. Mbunge wa Singida Kaskazini (CCM), Lazaro Nyalandu, amesema anasubiri ripoti ya madktari wa Agha Kan Nairobi, ili kuweza kuchukua hatua...
3 Reactions
28 Replies
6K Views
Wakati fulani, binadamu tunaptia katika wakati mgumu sana.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kwa wasiofahamu, Olengurumwa anaongoza taasisi inayojihusisha na masuala ya haki za binadamu na mara nyingi amekuwa na misimamo ya kupinga aina zote za unyanyasaji na uvunjaji wa haki za binadamu...
6 Reactions
32 Replies
4K Views
BIASHARA YA TAX DAR NI GARI GANI INAFAA ZAIDI ? Wadau wa hiyo biashara hapo juu, naomba kupata ushauri kwa aina ya gari inayofaa ili kukuwezesha kupata faida kama mmiliki na...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Utajuaje kama gari linadaiwa na traffic police maana ile ya *152*75# naona kama ina muda haifanyi kazi na pili kama umelipa kwa simu kupitia ile namba ya kampuni 888999 ambayo nadhani ni nmb...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
SALA MUHIMU ZA MKRISTO ZA KILA SIKU ASUBUHI (Unaweza kumtaja Lisu panapostahili ambapo pana Noun, pronoun etc) SALA YA ASUBUHI Tuusifu Utatu Mtakatifu wa Mungu Mwenyezi, Baba, Mwana na Roho...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Monday, June 19, 2017 WARAKA WA MISHAHARA MIPYA JULAI 2017 Kumekuwepo na sintofahamu juu ya badiliko la mshahara kwa watumishi wa asasi mbalimbali kulingana na mfumo mpya wa mshahara. Badiliko...
2 Reactions
27 Replies
10K Views
Wakuu. Kuna jambo limekuwa linaiumiza sana nafsi yangu.. nimetembea kwenye shule nyingi za serikali hapa Nchini miradi ya ujenzi inayofanyika katika shule hasa ya madarasa na nyumba za walimu ni...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…