Vyama vya Wafanyakazi: Mchwa mwingine | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vyama vya Wafanyakazi: Mchwa mwingine

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mzeelapa, May 4, 2012.

 1. m

  mzeelapa JF-Expert Member

  #1
  May 4, 2012
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 1,034
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Michango wanayotoa wafanyakazi katika vyama vyao ni mabilioni ya shilingi kwa mwezi, je fedha hizo zinafanya kazi gani? Je wafanyakazi mmeshawahi kuona bajeti za vyama vyao? maana hawa wawakilishi wakienda kwenye mikutano wanalipwa posho basi ndio changa la macho hilo hawana wanachoona. Tunaomba taarifa zao za fedha ziwekwe magazetini kama yanavyofanya mabenki. Sh**zi, wizi mtupu. kwanza uanachama ungekuwa wa hiari waajiriwa wote wangejitoa, hamna wanachofanya wanakula hela za wafanyakazi tu. unyonyaji mtupu, wanachofaidi wafanyakazi ni vi T-Shirt vya kubana matumbo siku ya Mei Mosi.
   
 2. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #2
  May 4, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Sisi juzi tumepewa vikofia kama vya watoto wa darasa la nne!!
   
 3. N

  NARE Member

  #3
  May 5, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 36
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  dah ni kweli hv hizi pesa tunazokatwa kila mwezi zinafanya nn?lazima tujenge hoja hapa.......
   
 4. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #4
  May 5, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  heri nyie mmepewa,sisi huku wanatuuzia.
   
 5. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #5
  May 5, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,227
  Trophy Points: 280
  hivi ni lazima kuwa mwanachama wa hivyo vyama?
  Me hata sioni umuhimu wake....
   
 6. papason

  papason JF-Expert Member

  #6
  May 5, 2012
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 2,317
  Likes Received: 634
  Trophy Points: 280
  Vyama vingi vya wafanyakazi vinaongozwa na majizi, ma mission town na matapeli waliokosa kazi za kufanya! Ndiyo maana wafanyakazi wanaenendelea kunyanyasika kila kukicha!
   
 7. K

  KUTATABHETAKULE JF-Expert Member

  #7
  May 5, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 810
  Likes Received: 402
  Trophy Points: 80
  Ni kweli kabisa, vyama vya wafanyakazi vimekuwa mzigo kwetu sisi wafanyakazi. Kumbukeni wakati wa mgomo wa madaktari vyama hivi vilikaa pembeni na kuwaacha wafanyakazi wa afya wakipigana peke yao. Na kibaya zaidi baadhi ya vyama vilidiriki kusema kuwa mgomo huo haukuwa halali. Lakini hebu watupe taarifa ya makusanyo ya michango yetu na jinsi wanavyoitumia. Ukiacha chama cha walimu ambacho kimejenga jengo zuri tu, vyama vingine havina chochote cha kuonesha na kujivunia. Sana sana wanaishia kulipana mishahara minono na vikao vya chama karibu kila mwezi sehemu mbalimbali za nchi na hasa Morogoro, Arusha na Tanga. Sisi wafanyakazi tunadanganywa na hawa wajanja. CAG apitie hesabu za vyama hivi ili kubaini maovu wanayoyafanya na hivyo kuufunua uozo wao.
   
 8. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #8
  May 5, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Hakuna chama cha wafanyakazi hata kimoja wote waganga njaa tu.
   
 9. M

  Morinyo JF-Expert Member

  #9
  May 5, 2012
  Joined: Aug 26, 2011
  Messages: 2,476
  Likes Received: 466
  Trophy Points: 180
  Kweli Tanzania ni nchi ya ajabu sana.
   
 10. nsangaman

  nsangaman JF-Expert Member

  #10
  May 6, 2012
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 276
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kwa mujibu wa Sheria ya Ajira na Mahusiano kazini hakuna mfanyakazi analazimishwa kuwa mwanachama wa Chama cha Wafanyakazi mahali pa Kazi.Pia sidhani kama CAG ana mamlaka ya kukagua vyama hivi.
  Kama huridhiki na utendaji wa chama chako cha wafanyakazi jivue gamba piga zengwe anzisheni chama kingine sheria inaruhusu.
  Kama pesa yako yakatwa yaani asilimia tatu ya mshahara wako na hauna kadi ya uanachama na hukuwa umeshawishiwa na wahusika wa chama kujiunga na kukubali basi ushaibiwa umepozwa kwa tshirt na kofia.
  Mimi niliwapiga biti kuwa atakayekata mshahara wangu bila ridhaa yangu yaani kama siyo statutory deduction tutakutana mbele ya Pilato.
  Kila Ofisi ina ya kwake,huo ni wa kwetu.
  Wasiliana na Afisa Utumishi wako,omba mwongozo.
   
 11. Ndebile

  Ndebile JF-Expert Member

  #11
  May 6, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 3,633
  Likes Received: 1,991
  Trophy Points: 280
  Kama kuna mwanasheria anayefahamu sheria za vyama vya wafanyakazi atujuze hatua anazopaswa kufuata mfanyakazi kudai hela zake. TALGWU wananiibia jamani! Sijawahi kuomba uanachama kwao lakini kila mwezi wanakata elfu thelathini zangu....nimeenda PCCB majibu yao ni longolongo aka njoo kesho, vyama vya wafanyakazi ni majambazi tu!
   
 12. Ndebile

  Ndebile JF-Expert Member

  #12
  May 6, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 3,633
  Likes Received: 1,991
  Trophy Points: 280
  Hasante kwa mwongozo mzuri, nimeku-PM!
   
 13. Metakelfin

  Metakelfin JF-Expert Member

  #13
  Sep 21, 2017
  Joined: Mar 23, 2017
  Messages: 2,161
  Likes Received: 1,759
  Trophy Points: 280
  corect
   
Loading...