Ina maana gani kuweka tangazo kwenye Blogs halafu Hilo tangazo Lipo kwenye website husika?

BAF

JF-Expert Member
Apr 28, 2017
422
510
Naona kama Kero sasa maana unakuta tangazo limetolewa kwenye website husika wakati huo huo unakuta mtu anapost kwenye link ya blog yake. Sijajua wataalam wa IT ndio nini hii maana kama unatangaza blog yako sio kwa style hii maana unaweza kukaa kidogo utaona mtu anatuma tangazo Hilo Hilo ambalo ambalo umeliona kwenye website husika

Karibu wataalam wa hayo mambo.
 
maana yake ni kuwa hiyo blog ni blog uchwara kama huyu dikteta wetu
 
Naona kama Kero sasa maana unakuta tangazo limetolewa kwenye website husika wakati huo huo unakuta mtu anapost kwenye link ya blog yake. Sijajua wataalam wa IT ndio nini hii maana kama unatangaza blog yako sio kwa style hii maana unaweza kukaa kidogo utaona mtu anatuma tangazo Hilo Hilo ambalo ambalo umeliona kwenye website husika

Karibu wataalam wa hayo mambo.
Acha kutembelea viblogu vya hovyo hovyo mkuu. Nenda ktk website husika, ndio suluhisho.
 
Back
Top Bottom