Nyumba ya Masanja mkandamizaji yabomolewa!

Nyumba ya Masanja mkandamizaji yabomolewa!

Freyzem

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2013
Posts
10,404
Reaction score
25,319
503e933abc7962b6f734b8851ac87947.jpg

b1aea5237f6285c1638e19e4a5cbfc9a.jpg

709dba9e560401c078b885a8c7e39d15.jpg

47552f1bf7451c2f1153e7852ca75f30.jpg
 
mpaka sasa 73% ya wa tz wameshaguswa na majanga ya jamaaa kama wewe hujaguswa basi kaa kimya
 
Yaah! Nilikuwa ubaruku, Mbarali juzi ni kweli watu wanalia kwa kubomolewa nyumba zao
 
yaani anawasilisha lalamiko lake kama anafurahia vile kumbe rohoni anaamua...tena anaumia mno...kwanini asiwe tu straight foward?..unafiki kitu kibaya sana.smh.

sio siri watz inabidi tu tuwe tunatumika kama sample au case study katika tafiti mbalimbali zinazohusiana na masuala ya sayansi jamii...tuna tabia za kipekee sana duniani.
 
Back
Top Bottom