Aliyekwambia wanaomjibu huyu juha ni CHADEMA nani?Sasa kwa nini anawakosesha chadema Amani namna hii? Siku nzima jf imejaa post kumhusu yeye tu, kwa nini?
Sasa kwa nini anawakosesha chadema Amani namna hii? Siku nzima jf imejaa post kumhusu yeye tu, kwa nini?
Aliyekwambia wanaomjibu huyu **** ni CHADEMA nani?
Huyu mpumbavu anajulikana kwa maneno ya ki papuchi ya mama yake tangu yanga huko.
So anapingwa na watu wote wenye akili,hata si CHADEMA.Ni mjinga tu ndo ataunga upuuzi wake wa kuhamasisha mauaji kwa wakosoaji.
Sent from my VF685 using JamiiForums mobile app
Si kwamba anawakosesha watu usingizi isipokua inasikitisha kwa mtu ambaye ana credibility km yeye kuwa na uwezo mdogo wa kufikiri hasa kwenye mambo ya msingi, I was real trusting him sasa nimemfuta. Nb mm si CHADEMA lkn kwenye issue za msingi we have to stand as a country.Sasa kwa nini anawakosesha chadema Amani namna hii? Siku nzima jf imejaa post kumhusu yeye tu, kwa nini?
hana influenc yoyote labda kwa mapunga wenzie
1. Unaelewa maana ya mtu kuwa na ushawishi..??
2. Unaelewa hali ya mtu kumkosesha amani mtu mwingine inavyokuwa..??
3. Umesoma na kudadavua comments zinazom-criticize..??
Hta wewe ukiandika pumba utajadiliwa siku nzima. Ila kwa sababu wewe HUJULIKANI, unaweza usijadiliwe sana, ila kwa sababu mwenzako anajulikana, ndo maana watu wanamjadili kwa kushangaa upumbavu wake.