Hivi ule utajiri wa Gesi umeishia wapi?

Hivi ule utajiri wa Gesi umeishia wapi?

Mkuu sisi tumezaliwa katika nchi yenye maziwa na asali. Baada ya gesi ya bure ilifuatia milioni 50, kila kijiji, ikaja laptop kwa kila mwalimu kama hivyo havitoshi tulianza driving schools kwa na tayari kwa kuendesha Noah, the order was 1 Noah per head for each and everyone of us.
 
Siasa za CCM zilikwamisha mradi wa kiwanda cha CNG...

Uzalishaji wa CNG ndio ungekuwa unaiingizia nchi mkwanja maana nchi ingekuwa inafanya exportation...

Hadi sasa gesi inauzwa ndani tu ya nchi na ni kwa viwanda kina Dangote, Twiga etc na Tanesco (ambaye sidhani hata kama wanalipa hela hawa)...
 
StatOil wanarudi mwezi wa 10 kuanza kujenga hiyo plant pale Lindi.. Rais wao alikuwa Tz majuzi tu hapa kuweka mambo sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ishu ya gesi yani ni kielelezo tosha hawa jamaa wa ccm walivyo monsters. Angalia sasa hivi anabomolea watu makaz wakati mademu zake aliwagawia nyumba za wizi serikali wapo wanakula bata
 
yani kwa sifa zilizo tolew juu ya ujazo wa gesi nilidhani sasa itatirirka majumbani kama maji ya dawasko. mambo ya kupikia mkaa kuni umeme n.k yangebak historia lakini sasa....!!!!
Mi nilijua Tanzania ingekua tajiri sana,
GDP Per Capita ingezidi nchi zote duniani,
Sisi ndio tungekua Donor Country, then Wamarekani na Waingereza wanakuja kwetu kuomba misaada ya kiuchumi,
 
Mkuu sisi tumezaliwa katika nchi yenye maziwa na asali. Baada ya gesi ya bure ilifuatia milioni 50, kila kijiji, ikaja laptop kwa kila mwalimu kama hivyo havitoshi tulianza driving schools kwa na tayari kwa kuendesha Noah, the order was 1 Noah per head for each and everyone of us.
Umenikimbusha hii ya laptop [emoji16][emoji16][emoji16] cjui alikuwa anafikiri nn kusema hivyo
 
Gesi haiwezi kututajirisha tena, hata mafuta pia hayawezi kututajirisha tena, siku hizo zimepita
 
Yale yale ya mikataba isiyo na maslahi kwa Tanzania na Watanzania na si ajabu katika shareholders wa hao "wawekezaji" labda hao mafisadi wakubwa wa nchi hii na wamo humo pia.

Wakuu napenda kujua hii habari ya utajiri wa mafuta na gesi iliyovuma sana kuanzia mwaka 2013 imeishia wapi?
Maana tuliambiwa umaskini basi tena baada ya gesi kugunduliwa Tanzania.
Naomba kujuzwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bavicha badala ya kupanga mikakati ya 2020 mmebaki kupika majungu tu. Endeleeni hivyo hivyo, tena kwa nguvu zaidi.
 
Back
Top Bottom