sherida
Senior Member
- Feb 15, 2017
- 133
- 194
Wakuu naombeni ushaur wenu mdogo wangu amesomea udereva sasa alikua anashughulikia leseni akapata ndugu yetu akamwambia yeye Ana mtu anamjua tra atamuunganisha nae huu sasa ni mwezi wa pili unaisha leseni anaambiwa system inasumbua na hela alimkabidhi huyo jamaa amshughulikie maan muda wake unabana Anatoka kazini usiku na anaingia saa 2 asabuhi " swali je kweli TRA kuna shida ya nertwork au ndio kashapigwa