Principal Focus
JF-Expert Member
- Jan 4, 2013
- 913
- 547
Utawala huu wa Magufuli hatujibu hoja hata iwe ukweli kiasi gani sisi tunajibu matusi, na kulaumu chama cha kijana kwa kila jambo.
Tunataka mabadiliko lakini hatujajiaandaa kubadilika, kitu tunachotaka hasa si mabadiliko bali kutimiza haja au kukata kiu ya muda mfupi.
Kiukweli si vijana wala wazee, wote tumepanik kwa Magufuli hadi kupelekea kuona kila kitu anachofanya si chema.
Tunataka kuamini upande wa pili wa shilingi bila kuutazama vyema upande wa kwanza wa shilingi.
Kiukweli tumepanik na hatuna hoja zaidi ya matusi na kutuliza njaa zetu tu.