ITV mnahitaji kujipanga kwenye habari

SaaMbovu

JF-Expert Member
Oct 8, 2013
6,027
5,343
Leo kwa kweli kwenye habari ya Saa 2 usiku mmekosea sana. Badala ya kupata mahojiano mlioandaa mnaleta habari tofauti kabisa.

Baada ya hapo mkaamua kuleta habari kutoka Moshi bado mkachemka mkakimbilia matangazo. Jirekibisheni nyie ni chombo kikubwa sasa maana mmevuta watazamaji wengi sana hasa kipindi cha uchaguzi kwa kubalance habari sio kama ya taifa na nyota TV.
 
Nadhani si mara nyingi hutokea hivyo ni human error hakuna mwanadamu ambaye hakosei ili wachukue ushauri
 
Leo kwakweli kwenye habari ya Saa 2 usiku mmekosea sana. Badala ya kupata mahojiano mlioandaa mnaleta habari tofauti kabisa. Baada ya hapo mkaamua kuleta habari kutoka Moshi bado mkachemka mkakimbilia matangazo. Jerekibisheni nyie ni chombo kikubwa sasa maana mmevuta watazamaji wengi sana hasa kipindi cha uchaguzi kwa kubalance habari sio kama ya taifa na nyota tv.

kuna tv ilojipanga bongo?
 
  • Angalia Channel 10 asubuhi utalia. Wanaita habari itakuwa tofauti au itakataa kufunguka. Naongea hizi sababu siendi tbc sababu kama kitu hakihusu CCM hakionyeshwi, Star Tv hao ndo basi hivyo tangu mwaka jana niliwaacha. Imagine ukienda kwenye magazeti huwa hawawezi soma gazeti la Tanzania Daima, Jamuhuri au gazeti lolote litakalokuwa na heading inayoikandamiza serikali. Huo ni uandishi kweli??? Hata Uhuru inaandika ukweli likitokea iweje Tv tena ya mtu binafsi uogope kusoma gazeti ambalo hukuandika wewe.
Channel Ten nawapenda sana tena sana you are non aligned kama mimi. Keep it up ila hao akina mitume watamaliza pesa za waumini bila majibu.
 
Hivi huu mtindo wa Taarifa za Habari kusomwa Saa 2 ukoje?...Au ndio kushindana..
TV 1 na wao wanakuja juu ila wanarusha taarifa yao Saa 1:30...
 
Leo kwakweli kwenye habari ya Saa 2 usiku mmekosea sana. Badala ya kupata mahojiano mlioandaa mnaleta habari tofauti kabisa. Baada ya hapo mkaamua kuleta habari kutoka Moshi bado mkachemka mkakimbilia matangazo. Jerekibisheni nyie ni chombo kikubwa sasa maana mmevuta watazamaji wengi sana hasa kipindi cha uchaguzi kwa kubalance habari sio kama ya taifa na nyota tv.
Utakuwa unafanya kaz star tv
 
Leo walichemka. Sijui nani alighafilika kiasi hicho. Ilikuwa aibu. Cha ajabu ni kwamba msomaji hakuwataka radhi watazamaji.
 
Leo kwa kweli kwenye habari ya Saa 2 usiku mmekosea sana. Badala ya kupata mahojiano mlioandaa mnaleta habari tofauti kabisa.

Baada ya hapo mkaamua kuleta habari kutoka Moshi bado mkachemka mkakimbilia matangazo. Jirekibisheni nyie ni chombo kikubwa sasa maana mmevuta watazamaji wengi sana hasa kipindi cha uchaguzi kwa kubalance habari sio kama ya taifa na nyota TV.

Wawe kama TBC siyo?????
 
Hamia TBCCM
 
Back
Top Bottom