Kituo cha mpakani cha Rusumo chaanza kutoa huduma kwa saa 24

Kituo cha mpakani cha Rusumo chaanza kutoa huduma kwa saa 24

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
5,227
Reaction score
5,303
Kituo cha huduma cha pamoja cha ushuru na forodha cha Rusumo wilayani Ngara kimeanza kufanya kazi kwa masaa 24 ikiwa ni mkakati wa pamoja wa Tanzania na Rwanda ili kupunguza msongamano wa wateja na kuchochea uchumi wa nchi hizo mbili

Wananchi na watumiaji wa mpaka huo wamepongeza hatua hiyo,
Hicho ndio kituo chakwanza kwa upande wa Tanzania kufanya kazi kwa saa 24 na vituo vingine vinatazamiwa kuiga hatua hiyo, mpaka wa Rusumo ndio mpaka wa pili kwa msongamano wa magari baada ya mpaka wa Tunduma uliopo Songwe

 
Jambo jema na sijui Tunduma inashindikana nini?
 
Kagame ndiyo mentor wa JPM, tutarajie makubwa zaidi kwenye nyanja za kisiasa, kiuchumi na kijamii.
Mungu tusaidie tufike salama na huyu dereva wetu. Mpaka wa kwenda wilayani unafanya kazi 24 hrs now.
 
Back
Top Bottom