wamisako
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 917
- 873
Ili kuepukana na kuweka nyuzi mbali mbali za kutaka watu wakutakie heri ya kuzaliwa, sasa huu ndo utakua uzi maalum kwa atakae penda kutakiwa heri ya kuzaliwa ataweka tarehe yake ya kuzaliwa siku yake ya kuzaliwa itakapofika.
Naanza na mimi leo ni siku yangu ya kuzaliwa 4/10
Naanza na mimi leo ni siku yangu ya kuzaliwa 4/10