Sijaelewa Sirro anamaanisha nini! Awataka wahalifu waache tabia hiyo, kabla ya kukamatwa ilihali taarifa juu yao wanazo

CHA The GREAT

JF-Expert Member
Nov 11, 2010
651
853
Mjumbe hauwawi.

Nilikuwa napitia pitia habari kwenye ukurasa wa ITV na kukutana na hii habari.

Kwamba, Sirro amewaonya wahalifu waliojihusisha na mauaji kule Kibiti na kukimbilia Mtwara, kuacha mara moja. Au polisi itawatia nguvuni kwa kuwa, jeshi hilo linazo taarifa za kutosha kuhusu walikokimbilia.

Mimi sijamuelewa, au ITV wameripoti ndivyo sivyo au ikoje hii.

Taarifa halisi ya ITV hii hapa chini:

Mkuu wa jeshi la Polisi IGP Simon Sirro ameonya na kuwataka wahalifu waliojihusisha na mauaji ya Kibiti, na kukimbilia mkoani Mtwara kuacha mara moja vitendo hivyo vya uhalifu, kabla polisi haijawatia nguvuni, kwa kuwa jeshi hilo linazo taarifa za kutosha kuhusu maeneo walikokimbilia.
 
Back
Top Bottom