Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habari wana jf, Mada Kama inavyojieleza. HATUKUJA DUNIANI KUFANYA KAZI SIKU ZOTE ZA MAISHA YETU, TUMEKUJA TUISHI MAISHA YETU. Tulipokuwa wadogo tuliaminishwa na wazazi wetu tusome kwa bidii...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Natakiwa kutii sheria za Nchi yangu, kuheshimu viongozi wangu na kuwa naupendo wenye usawa kwa watu wote. Kujituma kinguvu na kifikra ili kuikomboa familia yangu na jamii inayo nizinguka na kuwa...
1 Reactions
9 Replies
925 Views
Wadau Kuna nyumba nzuri sana inapangishwa Arusha.Nyumba ipo mwanzoni mwa Sekei na Nambere.Ni self contained, Ina master kubwa,vyumba viwili vingine vyenye makabati,jiko lililo...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Amesema jukumu lao ni kutoa elimu na wale wanaozembea na kufanya makosa mbalimbali hutozwa faini kwa mujibu wa sheria. Amewasihi polisi mkoani Iringa kutotoza faini kwa vikosa vidogo vidogo bali...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Wengine wanaweza wasinielewe lakini kwa siasa zetu zilivyo hivi sasa hapa nchini tunaowapambanaji wengi wakiongozwa na M4C Tunao wapambanaji wanaojituma kama salumu mwalimu, lema...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari za asubuhi wakuu. Ni hivi.nimesikitishwa sana na uendeshaji mmbovu wa gari STL 2071 aina ya Rav 4. Sijajua kilichokuwa kinamsibu huyo dereva .Ilikuwa leo 09.10.2017 asubuhi ya saa 12:05...
5 Reactions
35 Replies
5K Views
Kwa kuwa sheria ya uraia wan chi mbili haijapitishwa hapa Tanzania, je watu ambao walijipenyeza na kujifanya watanzania Taifa likawasomesha kwa gharama kubwa, baadae wakafanikiwa kushika nyazifa...
1 Reactions
27 Replies
5K Views
Institution of Engineers Tanzania (IET) wanafanya sherehe ya kutimiza miaka 40 toka kuanzishwa. Kwa namna yoyote ile, miaka 40 si haba. Wamepitia mengi ya kujifunza na kufundisha pale...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hebu tujikumbushe ni ndoto gani/zipi tulizowahi kuota ambazo hazikuwa nzuri kiasi kwamba tulivoshtuka toka kwenye hizo ndoto tulishukuru sana kuwa afadhali zile ni ndoto tu sio uhalisia Kwa...
0 Reactions
58 Replies
8K Views
Viongozi wa dini wana jukumu kubwa la kuleta amani ,na utulivu duniani.viongozi wa dini wana uwrzo wa kuzuia uhalifu,na hata kukomesha kabisa ,lakini kama itakuwa kinyume,basi chuki inaweza...
0 Reactions
3 Replies
897 Views
Kuna swali huwa najiuliza hivi ni kwanini wazungu wengi wakipata hela sio malimbukeni kama sisi Wafrika. Kwa waafrika uvaaji wetu, mahusiano na wasio nacho unakuwa tofauti sana na wazungu kwani...
1 Reactions
20 Replies
8K Views
Sasa hivi watu tumeanza kujikita kuongea tu juu ya viongozi wetu na kujisahau kuwa tuna jukumu la kufanya kazi kujenga nchi kwa vizazi vijavyo. Nguvu kazi ni sisi
0 Reactions
3 Replies
813 Views
Unaenda kuosha gari halafu unamkabidhi ufunguo muoshaji na wewe unakaa bar au pub kunywa pombe ama kucheza pool table ama kuwa busy na ligi maarufu sana. Gari iko full na documents muhimu na...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Bei hiyo unaweza kununua spacio used kabisa. Bei hiyo unanunua balloon used kabisa Bei hiyo unanunua kirikuu used kabisa
4 Reactions
114 Replies
26K Views
MWANAFUNZI wa kidato cha kwanza katika Shule ya Sekondari Igunga, mkoani Tabora, Ramadhani Hassan (15), mkazi wa Mtaa wa Nkokoto, amefariki dunia baada ya kuangukiwa na kifusi cha udongo alipokuwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wanabodi. Hapa jukwaani tunaeleza mazingira ya biashara yalivyo magumu, sera za nchi hii zimekua za sitofahamu, wawekezaji wakaondoa mitaji mkasema wapiga dili, sasa mzunguko hakuna wa fedha watu...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
ONGEZEKO LA WATU (9) TISA KWENYE UTEUZI WA BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI , kutoka kwa Mchambuzi Malisa GJ anasema katika moja ya andiko lake kuhusu alichobaini kwenye uteuzi wa baraza jipya la Mwaziri...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Teknolojia tunaenda na wakati ulimwengu huu wa dijitali kila mtu ni mwana habari pia kuna majukwaa "forums" huru, kama hili tulilopo ambalo mtu yoyote anaweza kupost chochote na mtu mwingine...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Naomba leo nifunguke ukweli baada na kukutana na hii changamoto ya watoto wa shule. Kusema ukweli mimi ninashindwa kuelewa ni kwanini hawa watoto wa shule wameamua kufanya hii Tabia. Ukiangalia...
9 Reactions
60 Replies
8K Views
Naona majeshi yetu yameanza kupata kazi za ujenzi uraiani kutokana na kauli ya Rais kuwa Wanajeshi ni waaminifu na wakipewa kazi wanaofanya bila kuwa na mizengwe yoyote na kumaliza miradi kwa...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…